Kama ni kweli , toa ushahidi!Inasemekana wamepewa vijana wa kiislamu tu na viongozi kadhaa wa CCM yameona hii imetia chama doa.
we must 'act' before 2015Kufikia 2015 tutaona na kusikia mengi.
Hongera mkuu na mbadilike kama hivi mnapokua mnazungumza mambo ya kitaifaNadhani mmesikia Mchango wangu leo wakuu. Nia ni kuwasulubu wote wasiolitakia mema taifa hili. Issue sio jina la Kigwangala ninalotumia bali ni Mchango wangu kwa jamii.
uso wake umesawajika vibaya, wabunge wangekuwa na umoja leo asingechomoka.maneno ya ngleja ziku zote ni hayajitihadamipangojuhudihatuza za mwishomkakatiupembuzikila sentensi mbili moja ya maneno hayo hapo juu azime ayaseme
Hivi bajeti isipopitishwa itakuaje? Wazir ata resign au wataanda bajet jengne
Hapo hata mimi naomba mwongozo wa Spika!