Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

Wacha nicheke tu

Chadema ni kama wale mafisi wa kwenye Hakuna matata. wao ukiwapa nyama wako tayari kwa lolote

Piga hela Mbowe na Dr Slaa, huu ndio wakati wenyewe kwani jamaa kaishachanganyikiwa

rudi lumumba uamishe vitu vyenu mafuriko yanakuja
 
UKAWA kuchelee...lowasa juu...uishi maisha marefu babaa weeeee...mwee sijui nilie mie maana naona ukumbozi huo...yaani leo ni sawa na siku ile ya kutangaziwa uhuru wa tanganyika maana watu walizimia...mweee kucheleee vigeregere....sasa tunatangaziwa mchakato wa kumng'oa mkoloni mweusi...ererereeeeeeee
 
Mwaka huu ni mchungu sana, eti wanasema CCM haiwezi kuachia IKULU!!!!!!!!!!!!!!!!! are you serious? kama mnataka nchi ipasuke na kuwaka moto mshindwe halafu msitoke muone..................
 
Wacha nicheke tu

Chadema ni kama wale mafisi wa kwenye Hakuna matata. wao ukiwapa nyama wako tayari kwa lolote

Piga hela Mbowe na Dr Slaa, huu ndio wakati wenyewe kwani jamaa kaishachanganyikiwa

Acha ikuume vizuri!
 
Huku wamekata umeme tusimuone Rais mtarajiwa,ITV mtuonyeshe marudio yake usiku kama kipindi maalum

Usiwe na shaka..ITV wanalijua hilo na watarudia lazima..hata bunge la escrow walikata umeme na ITV walirudia.
 
We should not be foolish to say it cant happen here as ccm say,we should know that the price of liberty is eternal vigilance.

Viva Ukawa Viva Chadema.
 
Back
Top Bottom