Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

Maamuzi magumu kwa vitendo. UKAWA wasipochukua nchi mwaka huu, sijui watakuwa wanahitaji nini tena.
 
Habari wakuu,
Leo Jumanne, tarehe 28 Julai, 2015
, chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kitampokea rasmi Edward Lowassa kuwa mwanachama wake mpya kutoka chama tawala, tukio hili pia litahudhuria na viongozi wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA). Tuwe sote kujuzana yanayojiri katika mapokezi haya.
==================

mkuu magazeti hongera sana kwa kuwakilisha wahariri na wandishi wa JF
 
lowasa lazima aitikise nchi na ccm sasa mjiandae kushikana uchawi
 
Back
Top Bottom