hapo zaman ni nadra sana hata kuwaza kama dengu inaweza kuwa ugonjwa ila kutokana na mifumuko ya magonjwa mengi siku hiz hatimae dengu yawa ugonjwa tuwen makin huu ugonjwa ni hatar kuliko maralia ya kawaida maana ata kama ukiwa na net ugonjwa huu utaupata tu