Kutoka Arusha; Polisi Arusha washiriki mikutano ya CHADEMA

Edward Sambai

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
2,822
Reaction score
3,832
"Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime"

hii kauli ya wahenga imetimia Arusha jana katika viwanja vya Mbauda pale polisi walipokuwa wametanda kwenye mkutano wa kampeni za udiwani Chadema huku wakipiga story na kusalimiana na wananchi bila hofu na shaka yoyote.

Furaha iliongezeka zaidi pale alipopanda jukwani kada maarufu wa Chadema Bw. Bush aliposema Baada ya adui yao Mh. Nchimbi aliekuwa waziri wa mambo ya ndani kupigwa Chini sasa Chadema na Polisi ni marafiki.

Photo0089.jpgPhoto0090.jpgPhoto0092.jpgPhoto0093.jpg
 
Attachments

  • Photo0088.jpg
    Photo0088.jpg
    143.8 KB · Views: 1,138
  • Photo0091.jpg
    Photo0091.jpg
    141.8 KB · Views: 475
  • Photo0094.jpg
    Photo0094.jpg
    70.4 KB · Views: 1,029
  • Photo0096.jpg
    Photo0096.jpg
    178.7 KB · Views: 1,007
  • Photo0098.jpg
    Photo0098.jpg
    188.3 KB · Views: 295
Polisi " walinzi wa amani" hawajawahi kuwa adui wa raia, mwanachama au chama chochote kile cha siasa, polisi ni rafiki wa kila raia katika kuhakikisha amani inakuwepo, ukivunja sheria na kuhatarisha amani basi lazima utakutana nao katika majukumu yao ya kiutendaji kuhakikisha amani inakuwepo
 
"Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime"

hii kauli ya wahenga imetimia Arusha jana katika viwanja vya Mbauda pale polisi walipokuwa wametanda kwenye mkutano wa kampeni za udiwani Chadema huku wakipiga story na kusalimiana na wananchi bila hofu na shaka yoyote.

Furaha iliongezeka zaidi pale alipopanda jukwani kada maarufu wa Chadema Bw. Bush aliposema Baada ya adui yao Mh. Nchimbi aliekuwa waziri wa mambo ya ndani kupigwa Chini sasa Chadema na Polisi ni marafiki.

View attachment 133307View attachment 133308View attachment 133309View attachment 133310View attachment 133311View attachment 133312View attachment 133313View attachment 133314

Kaka umeifanya siku yangu kuwa njema sana sana! Ubarikiwe na Mungu Baba wa Mbinguni! Amina
 
ficha hizo picha wasije wakaziona ccm,zitazua balaa

Hakifutwi kitu mkuu, na hizo nilizipiga jana kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani part one kwa kutumia simu yangu ya mchina.

Sasa leo uzinduzi kamili utakaofanyika kwenye viwanja vya Ngusero sombetini maarufu kama mwisho wa Hice nategemea kutumia "KONICA MINOLTA DYNAX 5D REVIEW" ili niweze kupata picture za chopa ikitua na matukio muimu zaidi.
 
Mbowe ndiye kirusi ndani ya CHADEMA akiondolewa kwenye uongozi CHADEMA itapaa balaa
 
Napenda watanzania watambue kwamba,suala la polisi kuwa karibu na raia hilo ni jambo la kawaida kabisa ila inapotokea sheria ikavunjwa lazima police wawa adui kwani hupambana kurudisha amani!hebu tizama,maana ya ulinzi shirikishi ni nini?ukiona police wanakuwa adui kwa raia mfano;mikutano mingi ya CDM imekuwa ikivamiwa na police na kutumia silaha za moto kuua au hata kujeruhi raia bila hatia au sababu za msingi!hao ni pilice wachache tu wanaotumwa na CCM ili kuharibu mikutano hiyo!Ila ukweli ni kwamba hata maadili ya police wanafundishwa kuwa karibu na raia kwani wao ndio walinzi wao.
 
wako makini, na kwa taharifa yako wengine walikuwa wamevaa kiraia wanajifanya waendesha bodaboda ili mkijilipua tu unakuwa mikononi mwao on the spot,

yaani mkijilipua tuu mdakwa hapo hapo
 
Polisi " walinzi wa amani" hawajawahi kuwa adui wa raia, mwanachama au chama chochote kile cha siasa, polisi ni rafiki wa kila raia katika kuhakikisha amani inakuwepo, ukivunja sheria na kuhatarisha amani basi lazima utakutana nao katika majukumu yao ya kiutendaji kuhakikisha amani inakuwepo

Ni kweli kabisa, hata Mwangosi, kule Nyororo alivunja amani. Akapata alichostahili.
 
Polisi huwa marafiki wakiwa katika majukumu yao ya kulinda usalama wa raia na mali zao............... uadui unakuja pale viongozi wao ambao pia ni makada wa ccm kutoa amri za kipumbavu kuwapiga raia bila sababu
 
wako makini, na kwa taharifa yako wengine walikuwa wamevaa kiraia wanajifanya waendesha bodaboda ili mkijilipua tu unakuwa mikononi mwao on the spot,

yaani mkijilipua tuu mdakwa hapo hapo

Ni kweli kabisa, hata Mwangosi, kule Nyororo alivunja amani. Akapata alichostahili.
 
Polisi huwa marafiki wakiwa katika majukumu yao ya kulinda usalama wa raia na mali zao............... uadui unakuja pale viongozi wao ambao pia ni makada wa ccm kutoa amri za kipumbavu kuwapiga raia bila sababu

Ni kweli kabisa mkuu, na hili nadhani itakuwa ni moja kati ya changamoto atakazokutana nazo Waziri mpya wa mambo ya ndani kwa kuchagua kufanya kazi ya kiuwaziri au kuwa kada wa Ccm!!
 
Hakifutwi kitu mkuu, na hizo nilizipiga jana kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani part one kwa kutumia simu yangu ya mchina.

Sasa leo uzinduzi kamili utakaofanyika kwenye viwanja vya Ngusero sombetini maarufu kama mwisho wa Hice nategemea kutumia "KONICA MINOLTA DYNAX 5D REVIEW" ili niweze kupata picture za chopa ikitua na matukio muimu zaidi.

Yani hadi raha jamani!!!!! UKOMBOZI UJE HARAKA, Huoooo unawadia
 
Police hawana shida na Chadema, isipokuwa wanatumika vibaya na hao maccm kuileta fujo kwenye shughuli za Chadema, ukiwaacha wafanye kazi kwa utashi wao hawna shida, wao wenyewe mbona njaa kali tu, police wenyewe wanatoka hukuhuku tuliko walala hoi, kuna ndugu zao huku tunaganga nao njaa, wajitambue waache kutumika vibaya, ccm yenyewe ishakufa hivyo.
 
Mwenye picha za mgombea udiwani kupitia tiketi ya ccm kata ya sombetini Arusha atuwekee please.

Maana habari nilizozipata ni kwamba ccm imesimamisha mbakaji kugombea udiwani.
 
"Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime"

hii kauli ya wahenga imetimia Arusha jana katika viwanja vya Mbauda pale polisi walipokuwa wametanda kwenye mkutano wa kampeni za udiwani Chadema huku wakipiga story na kusalimiana na wananchi bila hofu na shaka yoyote.

Furaha iliongezeka zaidi pale alipopanda jukwani kada maarufu wa Chadema Bw. Bush aliposema Baada ya adui yao Mh. Nchimbi aliekuwa waziri wa mambo ya ndani kupigwa Chini sasa Chadema na Polisi ni marafiki.

View attachment 133307View attachment 133308View attachment 133309View attachment 133310View attachment 133311View attachment 133312View attachment 133313View attachment 133314

Mkuu Edward, hiyo nyomi iliyopo kwenye hizo picha umewafanya wazee wa buku 7 wakimbie jukwaa.

Safi sana makamanda endeleeni kupiga kazi na mkumbuke nchi hii ni kubwa na kila Mtanzania ni haki yake ya msingi kufikiwa na huo ukombozi .
 
Mwenye picha za mgombea udiwani kupitia tiketi ya ccm kata ya sombetini Arusha atuwekee please.

Maana habari nilizozipata ni kwamba ccm imesimamisha mbakaji kugombea udiwani.

Mkuu ya Kaya, niyajitaidi kukuwekea picha za huyo mgombea udiwani tiketi ya ccm pindi niipatabo. maana jana nimezunguka kata nzima ya Sombetini na karibu gari yangu iishe mafuta lakini sijaona ni wapi ccm wanafanyia kampeni zao.

Ila kuna habari nimezipata kuwa ccm wanafanya kampeni zao usiku kwa kuwafuata watu majumbani mwao na kuomba kura ,wakiulizwa ni kwanini msifanya kampeni hazarani kama chadema? wao hujitetea kwa kusema watu wanatuzomea na ndio maana tumeamua kutumia hii mbinu.

Hapo kwenye Red, hii habari bado naifanyia kazi maana habari zilizopo hapa Arusha (zisizo rasmi) zinasema huyo mgombea udiwani kupitia tiketi ya ccm alishawai kubaka mwanafunzi wa shule ya msingi aliyokuwa anafundisha
huko nyuma.
 
Wakuu huyu Ndie kamanda Ally Bananga anayesubiri kuapishwa katika kata ya Sombetini Jijini Arusha
 
Back
Top Bottom