Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Mkuu ya Kaya, niyajitaidi kukuwekea picha za huyo mgombea udiwani tiketi ya ccm pindi niipatabo. maana jana nimezunguka kata nzima ya Sombetini na karibu gari yangu iishe mafuta lakini sijaona ni wapi ccm wanafanyia kampeni zao.
Ila kuna habari nimezipata kuwa ccm wanafanya kampeni zao usiku kwa kuwafuata watu majumbani mwao na kuomba kura ,wakiulizwa ni kwanini msifanya kampeni hazarani kama chadema? wao hujitetea kwa kusema watu wanatuzomea na ndio maana tumeamua kutumia hii mbinu.
Hapo kwenye Red, hii habari bado naifanyia kazi maana habari zilizopo hapa Arusha (zisizo rasmi) zinasema huyo mgombea udiwani kupitia tiketi ya ccm alishawai kubaka mwanafunzi wa shule ya msingi aliyokuwa anafundisha huko nyuma.
Mkuu Edward hapo kwenye red nimeipenda.
Nikutakie siku njema ila ukiweza utupe up dates za kutosha.