Acheniwivu na husuda kama kaandikiwa mbona wengine hawajaandokiwa,sivizuri kudharau kazi za wenzako!!Jamaani jamaani watanzania muna manini vichwani mwenu? haya maspeech ya kuandikiwa ambayo mtu hatoi kichwan kwake mnampa sifa mtu asiyestahili, nyerere kwa kiasi kikubwa alitoa kichwan sasa huyu Mugulu mnasemaje ni nyerere huyu jamani mbona munakela sana nyiny wapambe wake wasaka tonge???
Post imekosa wapiga debe
Acheniwivu na husuda kama kaandikiwa mbona wengine hawajaandokiwa,sivizuri kudharau kazi za wenzako!!
Mwigullu hana ubongo Wa kuzalisha alichosoma zaidi ya kuandikiwa....
Ukitaka kuamini mkamate kesho akupe analysis hata ya sentensi moja tu uone Kama atafurukuta....
Hata kutambua fulani ni mwandishi mzuri pia ni akili!Tunaambiwa alikuwepo mkongwe Mary Nagu na wengine mbona wameshindwa kumpata mwandishi wa namna hiyo ukizingatia wao wanauzoefu mkubwa ukilinganisha na Mwigulu?
Kumlinganisha Mnyika na Mwigulu ni dharau kubwa sana sana. Mnyika ana uwezo mara mia zaidi ya gaidi Mwigulu....