Kutoka Angola: Mwigulu atema Cheche

Kutoka Angola: Mwigulu atema Cheche

Hahaaa! Kutoka jina la Nyerere hadi Sokoine, kweli ni mzalendo.
 
I real hate Mwigulu Nchemba, ameorganise mipango mingi sana ya kuua na kujeruhi ndg zetu wasio na kosa lolote kwny mikutano ta CHADEMA, Mungu atamlipa kwa mabaya yake
 
Mwigulu nyumbani kwa Savimbi anafanya nini huko jamani? Je itakuwa ni maandalizi ya uchaguzi wa 2015 au?
 
mkuu najiulizaga kila siku kwani mzee wetu sokoine alikuwa Gaidi....

Mkuu,hata mie natatizika sana,naona wameenda mbali zaidi na kutaka kutuaminisha pia Kwame Nkurumah nae alikuwa Gaidi,Mzee mwenye heshima zake nyingi kabisa hapa Africa na Duniani kwa ujumla
 
we toka hapa na uongo wako! ni nani walimwita Nyerere?
chuo kipi walimwita hivyo?
Sokoine unajua sifa zake?
uliza wahujumu uchumi Sokoine alichowafanya!
mwiguru mishahara hewa inamtoa jasho, anabakia tukiwakamata,,,tukiwagundua,,,tukiwaona,,,
kajipange la lingine mkuu!
 
Mi nilipoenda botswana hata namibia wanafunzi wenzangu waliniita nyerere pale ina maana unatoka tz sio unafananishwa nae kifikra ukitaka kumjua nyerere fuatilia speech zake nje ya nchi ndo utaacha kulinganisha kifo na usingizi
 
Sijui ni madhara ya chanjo za ndui na polio za utotoni au ni ukosefu wa lishe bora au vyote! Nyerere? Sokoine?... Mnakosa adabu hadi kwa mizimu? Yaan huyu alierudia madarasa kibao hadi kuchukua jina la Wasukuma ndo mnamuona kipanga? So far ameweza kudeliver kitu gani ndani ya nchi hii? Ophir Walilipa Capital Gain Tax? Wazee walioitumikia nchi hii kwa uzalendo uliotukuka wamelipwa mafao yao? Aweza kukusanya kodi kwenye Mitandao ya Simu? Madini? ... give me a break...
 
Kuonyesha uzalendo kwenye kuongea tu, kwanini hakuonyesha uzalendo kuzuia pesa za Escrow zisitoke. Alikua wapi pesa zinatolewa Escrow,zinaenda benki na watu wanagawana, lugha au kuongea vizuri si muhimu kilichokua muhimu utendaji wa kazi, aliyekua waziri mkuu Manhoman Singh wa India hakuwa mzungumzaji mzuri lakini ameleta maendeleo makubwa India. Hatutaki kiongozi anaependa kupigiwa makofi kwa jinsi anavyoweza pangilia maneno yake anapotoa hutuba, tunataka kiongozi anaeweza kuiletea maendeo nchi na wananchi wake.
 
Back
Top Bottom