Kutofautisha iPads

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
239
47
wadau tafadhali naomba mnisaidie, kuna bwana mmoja kaniletea ipad anadai ni hii mpya(iliyorelease-wa Oct 2011) naombeni mnisaidie kwamba nitatofautishaje kati ya iPad 1, iPad 2 na hiyo iPad 3; msaada jamani naweza kuibiwa hapa
 
ni kweli kaka ilitoka March, thanx kwa msaada kweli umeniikoa ndo nilikuwa naibiwa hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…