MIHAYO1710
Member
- Apr 7, 2018
- 22
- 50
Umekula lakini kijana?It seems like unaishi maisha kutafuta impression ya watu.
Nakuonea huruma sana dogo.
Msosi wa kushiba huwa unaonekana hata ukiwa kwenye sahani, sio lazima Ule.Ni vigezo gani vitumike vunatumika kuhitimisha kwamba fulani katoboa? Uzi huu unalenga kuwatia moyo wale ambao pengine wanaelekea kukata tamaa ilhali kwa vigezo vya walimwengu ni wametoboa tayari
Ukiweza kuacha kazi(hands off) na ukaendelea kuishi life style yako decently!. Jua ushatoboa,lkn Kama una life ya utoke ndio ule,Basi unamwendo mrefu sana ....Ni vigezo gani vitumike vunatumika kuhitimisha kwamba fulani katoboa?
Hilo swali niliwahi kumuuliza baba yangu Facebook bila kujua nabishana na nani.Fikiria ilikuaje nilivyojua!Umekula lakini kijana?