kutoa ni moyo si utajiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kutoa ni moyo si utajiri

Discussion in 'Sports' started by hermes, Jul 16, 2010.

 1. hermes

  hermes Member

  #1
  Jul 16, 2010
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ligi ndo inakalibia kuanza Liverpool a.k.a liverpoor wame fulia kwa hiyo tunaomba michango yenu ili tuweze kuwasaidia katika usajili ili ligi iletemsisimko kama zamai.Mimi nimejitolea kwa kila mchezaji watakaye mtaka nitatoa asilimia 25 ya gharama za kumsajili na nitachangia asilimia 20 ya mshahara wake.:spy:
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Vipi kuhusu Majimaji, reli, Lipuli, Tukuyu, Pamba, Coastal union, Pan Africa nk nadhani nazo zinahitaji mchango pengine kuliko Liverpool.
  Wapi Uzalendo?
  Mwisho unaweza ukajihisi na wewe ni Mwingereza bure.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ndibalema.... achana na huyo "wezere"

  unaweza kuta nduguze bado wanazalia nyumbani lakini anataka kutoa 25% ya 65,000 pounds a week ya mascherano
   
Loading...