AMB
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 206
- 65
Jinsia yako ni ipi tafadhali?Mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani ananiambia hajui.naomba ushauri ni ugonjwa aunikitugani pia yananinyima raha yalile tendo.