Fomu za UTT kwenye mikoa ambayo hawana ofisi au kama UKo mbali na UTT basi wakala ni crdb fomu zipo hapo Benki iwe ni kuweka au kutoa na ndo maana hata wao UTT hushauri mtu awe na akaunti ya crdb.Kwa kawaida fomu ya kutoa pesa kwenye akaunti ya UTT hujazwa kwenye ofisi za UTT, pesa unayotaka kutoa huingizwa kwenye akaunti yako baada ya siku saba.
Sina hakika na hiyo 23000tsh uliyoombwa kama iko kihalali... Jaribu umuone Manager wa tawi kwa ufafanuzi.
Baadhi ya wafanyakazi benki wa hawafahamu itifaki zinazotumika kati yao na UTT, inawezekana hata managers wanakwama. Mimi ni mwanachama UTT tangu ilipoanza hadi leo !. Hakuna utaratibu wa kitozwa 23000 unapotoa pesa.
Hiyo siku tatu kuingizwa pesa yako kwenye akaunti pia sio kweli!. Inachukua siku saba hadi kumi! Hii nakupa uzoefu wangu ndani ya UTT zaidi ya miaka kumi.
Tatizo la UTT ni urasimu. Wanachoahidi kwenye karatasi siyo wanachofanya kwenye uhalisia.Inategemea na aina ya account, inaonyesha wewe sio mteja wa liquid fund. Bond fund ni moja ya account zinazokaa hizo siku unazosema
Hebu funguka zaidi mkuu.Tatizo la UTT ni urasimu. Wanachoahidi kwenye karatasi siyo wanachofanya kwenye uhalisia.
Kwenye malipo, pale unapohitaji kuuza vipande upate pesa yako kuna ucheleweshaji unaotokana na pesa kutoka benki ...Haitoki kirahisi kama inavyonadiwa.Hebu funguka zaidi mkuu.
Nina mpango wa kujiunga nao, nini mapungufu yao makubwa?
Mkuu Mi sina HAja ya kubishana na wewe kuhusu SIku ya kupata peaa yako baada ya kujaza fomu. Nilitoka pesa mwezi WA nne ilikuwa SIku ya Jnne nilipojaza fomu pesa nilipata ijumaa. Nikatoa pesa tena mwezi WA Saba pesa nilipata ñdani ya SIku mbili yaani siku mbili baada ya kujaza fomu. Kama humu kungekuwa safe Sana ningeweka namba ya Jamaa aliyeko makao makuu DSM apigiwe maana ndiye huwa nawasiliana Nate toka nmefungua akaunti kwao mi sizungumzii uzoefu wako hapa nazungumzia reality kabisa za juzi juzi Tu hapa pesa unapata baada ya SIku mbili baada ya kujaza fomuBaadhi ya wafanyakazi benki wa hawafahamu itifaki zinazotumika kati yao na UTT, inawezekana hata managers wanakwama. Mimi ni mwanachama UTT tangu ilipoanza hadi leo !. Hakuna utaratibu wa kitozwa 23000 unapotoa pesa.
Hiyo siku tatu kuingizwa pesa yako kwenye akaunti pia sio kweli!. Inachukua siku saba hadi kumi! Hii nakupa uzoefu wangu ndani ya UTT zaidi ya miaka kumi.
UTT ni kitu gani?Baadhi ya wafanyakazi benki wa hawafahamu itifaki zinazotumika kati yao na UTT, inawezekana hata managers wanakwama. Mimi ni mwanachama UTT tangu ilipoanza hadi leo !. Hakuna utaratibu wa kitozwa 23000 unapotoa pesa.
Hiyo siku tatu kuingizwa pesa yako kwenye akaunti pia sio kweli!. Inachukua siku saba hadi kumi! Hii nakupa uzoefu wangu ndani ya UTT zaidi ya miaka kumi.
Unit Trust of Tanzania yaani Mfuko wa Umoja. Siku hizi unaitwa UTT- Amis.UTT ni kitu gani?
Sawa... Unaweza kunifafanulia hiyo 23,000 tsh uliyoambiwa ulipe kwanza ni ya nini?.Mkuu Mi sina HAja ya kubishana na wewe kuhusu SIku ya kupata peaa yako baada ya kujaza fomu. Nilitoka pesa mwezi WA nne ilikuwa SIku ya Jnne nilipojaza fomu pesa nilipata ijumaa. Nikatoa pesa tena mwezi WA Saba pesa nilipata ñdani ya SIku mbili yaani siku mbili baada ya kujaza fomu. Kama humu kungekuwa safe Sana ningeweka namba ya Jamaa aliyeko makao makuu DSM apigiwe maana ndiye huwa nawasiliana Nate toka nmefungua akaunti kwao mi sizungumzii uzoefu wako hapa nazungumzia reality kabisa za juzi juzi Tu hapa pesa unapata baada ya SIku mbili baada ya kujaza fomu
Ni sawasawa. Nami pia ni mwanachama. Unajaza fomu ofisini. Fedha yako inatumwA ndani ya siku kumi za kazi kwenye akaunti yako ya benki. Ikiwa haikutumwa kuna namba za simu ambazo utapiga ambazo hata kama huna salio zitaita utataja taarifa zako. Ikiwa jambo lako halitapata majibu ya moja kwa moja watakupigia simu baada ya muda mfupi ndani ya siku hiyo hiyo kukujuza kuwa jambo lako limefikia wapiBaadhi ya wafanyakazi benki wa hawafahamu itifaki zinazotumika kati yao na UTT, inawezekana hata managers wanakwama. Mimi ni mwanachama UTT tangu ilipoanza hadi leo !. Hakuna utaratibu wa kitozwa 23000 unapotoa pesa.
Hiyo siku tatu kuingizwa pesa yako kwenye akaunti pia sio kweli!. Inachukua siku saba hadi kumi! Hii nakupa uzoefu wangu ndani ya UTT zaidi ya miaka kumi.
Faida inaingizwa kwenye akaunti yako, ili ujue kama inaingizwa kwa wakati ni lazima usubiri wakutumie statement. Nakumbuka kuna wakati niliwahi kugombana nao kwenye hilo. UTT wanakutunzia hesabu na thamani ya vipande vyako kwenye makaratasi wakati pesa iko benki.GwaB, vipi ile faida wanayotangaza kutoa kulingana na aina ya uwekezaji..vipi wanatoa kwa wakati?