Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?
Hela.....Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?
Yaan, vurugu na fujo mtindo mmoja. Kiswahili cha wapi hikiHela.....
Ela ndio nini?!
Nafurahi kuona humu watu wapo makini na lugha(mwandiko) isiyoeleweka. Kusema kweli lugha yetu inaandikwa na kuzungumzwa vibaya.Hivi ni wizara/taasisi gani inayosimamia ukuaji wa lugha yetu ya kiswahili??
Hali ni mbaya mno....okoeni jahazi linazama
Inahuzunisha mnoNafurahi kuona humu watu wapo makini na lugha(mwandiko) isiyoeleweka. Kusema kweli lugha yetu inaandikwa na kuzungumzwa vibaya.
Kabisa sijui watu wamekuwaje Na hili linazidi kukuaHivi ni wizara/taasisi gani inayosimamia ukuaji wa lugha yetu ya kiswahili??
Hali ni mbaya mno....okoeni jahazi linazama
Umeona Kaka ndo hawa unajitahidi kumhudumia kadri uwezavyo but yeye kukupa even a T shirt hawez ila siku ya Birthday yake atakwambia anataka Budget ya Keki na Nguo Mpya wabadilikeTatizo mmeshazoea kupewa na wanaume, mkiobwa ninyi mnashangaa mpk kuja kuuliza huku. Mapenzi ya kweli hayana mipaka
Si mnatuleteaga za haki sawa?amekula ya mbuzi acha aote....?Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?
Si mnatuleteaga za haki sawa?amekula ya mbuzi acha aote....?
Hahahha nimeipenda hii....eti akifel tena discomapenzi ni pamoja na kuheshimiana, kuthaminiana na kusaidiana.
sasa isiwe wewe pekee ndie unaheshimu tu, unathamini tu na unasaidia tu.
kuna siku utakosa na utahitaji wa kukusaidia, kama mwenza wako kisaikolojia ulimzoesha kumsaidia yeye tu, hilo ni tatizo.
kwa mtu ambaye anatafuta mwenza wa kudumu, suala la mtu ni msaada kiasi gani ni vyema likawekwa kwenye mtihani wa majaribio, akifeli unampa supplementary, akifeli sup inayofuata ni disco. ila kama unampenda sana basi acha akeri, nenda naye polepole huku ukimuelimisha umuhimu wa kusaidiana