Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna makato lakini hawajatuweka wazi.Sitarudia tena kufanya hivyo.

Acha kujidhalilisha bana... Kwani kama ungenda kwenye ATM, hakuna makato? Au huo muda unaotumia kuifuata ATM siyo makato, na nauli au mafuta utakayotumia kuifuata ATM au benki, siyo makato..???Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna makato lakini hawajatuweka wazi.Sitarudia tena kufanya hivyo.
Embu weka wazi zaidi.Ulivyofanya hayo mahesabu umegundua wanakata kiasi gani sasa
Nimetoa laki nimekatwa 4500 . Ni afadhali wangetuweka wazi. Pia number yao ya customer care ipo busy mda wote
Pole sana aisee,
wanakata bei gani na vipi kuhamisha ela kutoka a/c ya NMB kuleta a/c ya CRDB mnijuzeni kama mna abc's
Nimetoa laki nimekatwa 4500 . Ni afadhali wangetuweka wazi. Pia number yao ya customer care ipo busy mda wote