Kutoa hela bank to tigo pesa sitarudia kumbe kuna makato

lucz

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
218
41
Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna makato lakini hawajatuweka wazi.Sitarudia tena kufanya hivyo.
 
je hayo makato yanazidi nauli/petrol na muda utakaopoteza kwenda benki??? tena NMB
 
Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna makato lakini hawajatuweka wazi.Sitarudia tena kufanya hivyo.

Embu weka wazi zaidi.Ulivyofanya hayo mahesabu umegundua wanakata kiasi gani sasa
 
wanakata bei gani na vipi kuhamisha ela kutoka a/c ya NMB kuleta a/c ya CRDB mnijuzeni kama mna abc's
 
Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna makato lakini hawajatuweka wazi.Sitarudia tena kufanya hivyo.
Acha kujidhalilisha bana... Kwani kama ungenda kwenye ATM, hakuna makato? Au huo muda unaotumia kuifuata ATM siyo makato, na nauli au mafuta utakayotumia kuifuata ATM au benki, siyo makato..???

Sometimes kabla ya kulalama fanyeni itafiti... Wenzenu walimu wanaotoka vijijini hiyo njia ni mkombozi kwao
 
Embu weka wazi zaidi.Ulivyofanya hayo mahesabu umegundua wanakata kiasi gani sasa

Nimetoa laki nimekatwa 4500 . Ni afadhali wangetuweka wazi. Pia number yao ya customer care ipo busy mda wote
 
hakuna bure mkuu makato muhimu....hata wale wanaosema hakatwi mtu hapa magumashi tu unakatwa kama kawa
 
Nimetoa laki nimekatwa 4500 . Ni afadhali wangetuweka wazi. Pia number yao ya customer care ipo busy mda wote

Mkuu, umeuliza salio kwanza, kutuma fedha laki moja na baadae ukauliza salio tena, mchanganuo wake ni kama ifuatavyo:-

Kuuliza salio NMB - 200/-

Kutuma fedha Tsh.100,000/- kutoka NMB kwenda Tigopesa ada ni sh. 2,000/-

Kuuliza salio mara ingine nmb ada ni sh.200/-

Jumla ya tozo uliotozwa ni sh. 2400/-

USILALAME
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom