Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna makato lakini hawajatuweka wazi.Sitarudia tena kufanya hivyo.