Kutizama filam za nigeria + mpira bure (bila dstv)

Kutizama filam za nigeria + mpira bure (bila dstv)

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
317
Reaction score
33
Ninunue LNB gani kati ya C- BAND ama KU-BAND ili nipate kuona Channel za bure zenyekuonesha MPIRA na MOVIE za NIGERIA + MZIKI,
Itayoendana na uelekeo wa (East) wa dish langu bila kupoteza hizi zakibongo?
 
Pata lnbf ya ku band utapata ch za naijeria .ctl. Noolwood.na muvitv ya zambia fr 12682 hsr26656 .fr12562 hsr26656.fr12602v26656 .mpira akuna bure labda kama mech moja kwa wiki
 
Ahsante twatwatwa naifunga upande gan wa híi c band niloiweka katkat? Ile KU nyngne nmeifunga chini Ya Cband Nimezpata za kenya KBC, K24, FAMILY TV, UBSTV (uganda) STARTV ya Dsm. yamebak matundu mawili yakuweka Lnb, Kile kichwa cha waya wa lnb uelekee upande upi?
 
Ahsanteni sana wadau sasa naenjoy nigerian movie 24hrs nna Nollywood, MuviTV na Cti na nyngne kbao za dini,
 
Back
Top Bottom