Happiness Morice
Member
- Jul 28, 2021
- 7
- 3
Hello,jmn kuna mtu yeyote anayejua sehemu wanayo tinda nyusi vizuri kwa kutumia uzi?
Zainab saloon ipo upanga ,kama unatoka muhimbili ukimuuliza boda yoyote kwa aunt zainab saloon anakupeleka .Hello,jmn kuna mtu yeyote anayejua sehemu wanayo tinda nyusi vizuri kwa kutumia uzi?
Zainab saloon ipo upanga ,kama unatoka muhimbili ukimuuliza boda yoyote kwa aunt zainab saloon anakupeleka .
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
yupo kkoo kutinda 5000