Yupo mmoja kwenye mitandao ya short clip ka anawazimu ,yaani hajali,kapo kajizungu hivi kamejazia jazia tume namba 8 ,nalinganisha na hawa wa kwetu hana tofauti.
yaani ka tupo kijiweni basi sote inatokea ghafla tupo kimya,aafu tunasema kapita shetani.
sijajua kwanini wanamitetemo aafu unakuta kila mmoja na mtikiso wake?