Mister mimi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 357
- 649
Wooyii hawa ccm uv hawawezi kukuelewa ..wanachojali ni miamala ya LumumbaYawezekana kweli mtu ana mapenzi na mtu au taasisi.lakini namna yake na hoja zake za uteteaji na usifiaji inatia mashaka, ni TOO MUCH!
Kumtetea mtu kwa sifa zinazopitiliza viwango.
Kusema hadi uongo kwa lengo tu la kusifia,hadi kumpa mtu sifa ambazo sio za kibinadamu ili tu kumpamba unayemsifia,kuna fanya automatically uonekane kama una shida mahali fulani.
Au unafanya hivyo ili upate kitu fulani,au unapata kitu fulani kwa kazi hiyo.
kama ni hivyo basi jitahidi uje na sifa zenye hoja zenye mantiki ambazo zitakuheshimisha wewe na unayependa watu wajue sifa zake.
Maana sifa zingine hata kama ni mahaba,basi ni mahaba ya kizamani sana. yale ya kudanganyana kuwa,usiku silali nakesha nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye glass.
Ila kuna sifa zingine hata anayesifiwa akiona au akisikia anaweza akacheka tu kwa mshangao nakumuona anayemsifia ana mamenzi naye ila anaupeo mdogo wa akili.
Very disturbing 😱Baada ya Mungu na mtume ni Samia? Hii imeniumiza Akili
Mbona unafanya meanders bosi?Kuwa pwik-pangani! Nyoosha maelezo.Kumetokea nini?Yawezekana kweli mtu ana mapenzi na mtu au taasisi.lakini namna yake na hoja zake za uteteaji na usifiaji inatia mashaka, ni TOO MUCH!
Kumtetea mtu kwa sifa zinazopitiliza viwango.
Kusema hadi uongo kwa lengo tu la kusifia,hadi kumpa mtu sifa ambazo sio za kibinadamu ili tu kumpamba unayemsifia,kuna fanya automatically uonekane kama una shida mahali fulani.
Au unafanya hivyo ili upate kitu fulani,au unapata kitu fulani kwa kazi hiyo.
kama ni hivyo basi jitahidi uje na sifa zenye hoja zenye mantiki ambazo zitakuheshimisha wewe na unayependa watu wajue sifa zake.
sifa zingine hata kama ni mahaba,basi ni mahaba ya kizamani sana. yale ya kudanganyana kuwa,usiku silali nakesha nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye glass.
Maana kuna sifa zingine hata anayesifiwa akiona au akisikia anaweza akacheka tu kwa mshangao nakumuona anayemsifia ana mamenzi naye ila anaupeo mdogo wa akili.
Very disgusting!Very disturbing 😱
Hakika...Very disgusting!
Na,wasipotumiwa hiyo miamala kwa wakati huwa hawajishughulishi kulinda migongo yao.Bloody open gongoz!Wooyii hawa ccm uv hawawezi kukuelewa ..wanachojali ni miamala ya Lumumba View attachment 3697001
Unawaita akina jentromani na bubujiko?
Yes,uko sahihi gentlemanYawezekana kweli mtu ana mapenzi na mtu au taasisi.lakini namna yake na hoja zake za uteteaji na usifiaji inatia mashaka, ni TOO MUCH!
Kumtetea mtu kwa sifa zinazopitiliza viwango.
Kusema hadi uongo kwa lengo tu la kusifia,hadi kumpa mtu sifa ambazo sio za kibinadamu ili tu kumpamba unayemsifia,kuna fanya automatically uonekane kama una shida mahali fulani.
Au unafanya hivyo ili upate kitu fulani,au unapata kitu fulani kwa kazi hiyo.
kama ni hivyo basi jitahidi uje na sifa zenye hoja zenye mantiki ambazo zitakuheshimisha wewe na unayependa watu wajue sifa zake.
sifa zingine hata kama ni mahaba,basi ni mahaba ya kizamani sana. yale ya kudanganyana kuwa,usiku silali nakesha nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye glass.
Maana kuna sifa zingine hata anayesifiwa akiona au akisikia anaweza akacheka tu kwa mshangao nakumuona anayemsifia sawa ana mapenzi naye ila ana upeo mdogo wa akili.
afadhali umeacha kutukana na kuporomosha matusi jukwaani gentleman🐒Hakuna CCM hata mmoja mwenye akili timamu.
Una mimba ?afadhali umeacha kutukana na kuporomosha matusi jukwaani gentleman🐒
usiwadhalilishe basi au kuonyesha dharau au chuki dhidi ya wadau wa jf wenye mimba gentleman,Una mimba ?
Hilo ndilo swali nililokuuliza?usiwadhalilishe basi au kuonyesha dharau au chuki dhidi ya wadau wa jf wenye mimba gentleman,
Mbona hata hawahusiki kwenye hoja aise?
au unapiga jeramba ili uanze kuporomosha matusi tena jukwaani?🐒
kwa faida ya wadau wote wa jf,Hilo ndilo swali nililokuuliza?
Mimba yako ipo trimester ya ngapi?kwa faida ya wadau wote wa jf,
hebu uliza tena na itapendeza zaidi gentleman kama hutojali🐒