Kuteswa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

Mimi ni kijana wa miaka 29 nina Kilo 97 naishi ndani ya Dar, ni mkaka mweusi, mfupi kiasi. wengi wanahisi mimi ni MUHA kutoka Kigoma kulingana na weusi wangu na unene ila kiukweli mimi ni mdigo kutoka Tanga paleee saharee.
Naona dalili ya kufa mapema. Ukitaka kufs mapema oa mke cheupe dawa halafu uwe wamwona mrembo kakuonea huruma kuwa na wewe. Yaani wewe hapo ulipo unahisi umeonewa huruma. Piga chini huyo hata eze hawezi kuishi naye maana anajua ni bomu
 
Punguza kula uwe kama Eze
 
Apo jiangalie wewe.
Badili marafiki na watu wako wa karibu.

Pia uwe na ujasiri kukataa mwanamke asiyefaa ili umpe nafasi mwanamke anayefaa.
 
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina Kilo 97 naishi ndani ya Dar, ni mkaka mweusi, mfupi kiasi. wengi wanahisi mimi ni MUHA kutoka Kigoma kulingana na weusi wangu na unene ila kiukweli mimi ni mdigo kutoka Tanga paleee saharee.
Kwa hii description uliyoitoa kama ni kweli huu ndo muonekano wako, BASI UNAFANANA NA KITUNGUU!

Kiukweli tu mi nikuambie utaendelea kuchapiwa sana, ww sio wa kwanza kuchapiwa, kachapiwa Masanja Mkandamizaji, Nikki wa pili, Kikwete, nk
Tafuta mnyonge na ww chapia
 
Mwanaume mfupi na uzani wote huo afu uwe huna pesa utachapiwa Sana walahi.

Anza kutafuta pesa kwa hasira ili ziwe Kama advantage kwako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…