Mimi ni kijana wa miaka 29 Nina Kil0 97 Naishi ndani ya dar,Ni mkaka mweusi,mfupi kiasi...Wengi wanahisi mimi ni MUHA kut0ka kig0ma kulingana na weusi wangu na unene ila kiukweli mimi ni mdig0 kut0ka Tanga paleee saharee....
Kijana mwenzenu mimi nateswa na mapenzi yani nateswa haswa sina khari Jamani....Nishaumizwa sana...Nishalia sana...Nishateswa mimi Ila ndi0 iv0 huwa sik0mi likit0ka jike hili kuniumiza naingiza jike jingine m0y0ni n0 mala waaa....
Kwasasa naishi na mwanamke kabila lake ni MRANGI ni binti Mzuri sana,Nilimt0ng0za akakubali ila ni single maza ana wat0t0 wawili ila kwangu haikuwa kesi,Nimemuhamisha alip0kuwa anakaa na sasa naishi nae kwangu yeye na wanae wawili, Wanakula ugali wangu,nawapa nauli za shule Na kuwazingatia hii y0te cuz niampenda mama ya0...
Huk0 nyuma kama nilivy0sema awali kuwa nishalizwa sana na mapenzi ila kwasasa Nikahisi kwa huyu single maza nimepata pumzik0 ila ni Kivumbi Hakuna cha afadhali,Nimekuwa mtu wa kug0ngewa sana na watu wa mtaani,shemeji yenu anagawa sana UTAMU,nishamfumania sana ila nguvu ya kumuacha SINA...nabaki kulia tu,kwasasa niseme ananinyanyasa mana hata unyumba sipewi anapewa mtu mwengine huk0 njee anaitwa EZE...
Jana nimekuta anasifiwa kwenye SMS kwa utundu aliotoa kwa jamaa mmoja aliemsevi EZE....Nimelia sana na nimes0mea kesi ila ananipuuza anasema nikumuacha sitapata mwanamke mremb0 kama yeye basi akiniambia iv0 nak0sa nguvu ya kumuacha....
Pia Hata nikimuacha atakaekuja nae ni iv0 iv0 tu mana nishag0ngewa sana,nishaachwa sana...Sijui tatiz0 langu ni lipi mpk nateswa ivi na mapenzi...
Sina furaha na maisha ya kimapenzi na kuwa single siwezi...
Masela wananig0ngea mademu zangu,Masela wananichapia sana....
Sijajua hapa na0mba ushauri au laa... Mana hata mi mwenyewe sijui nini nahitaji ila kikubwa sitaki kumuacha nampenda sana mpenzi wangu....
Ila kama eze up0 humu plz kaka achana na mpenzi wangu nampenda sana...