Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

kutetea kauli zisizo mashiko kisa mtoto wa rais ni ukiukwaji wa kikatiba na sheria za nchi .Pia lazima tulinde maadili ya masilahi ya umma.We lini ulisikia watoto wa rais mwinyi , rais nyerere, mkapa walikuwa wasemaji wa Ikulu kama si kulewa fedha za wizi.Je hawa watoto wa maraisi hao hawakuwa na shida na masilahi yao binafsi kuitumia ikulu?jamani tuwe wauungwana tujali masilahi ya umma .Kutumia che na madaraka ya mtu vibaya ni kinyume cha sheria na katiba ya nchi.
 
Huyu ndo rais wa taifa hili. Yule mwingine si mnamuita dhaifu? Tulieni like son like father afanye vitu vyake, so far he is doing good..!

i dont think so! he is not doing good...by the way kikwete hatakuwa siku zote
 
Asubiri baba ake aondoke hapo ikulu ili aje atueleze jinsi alivyoweza kuwa millionaire ndani ya miaka3 ..or else..!
 
:A S 39:
A%20S%2039.gif
NGOJA NITARUDI
 
Wakuu,
kuna mabandiko kadhaa yaliletwa hapa baada ya Kibanda kupigwa vibaya...
na 1 ni reaction ya riziwan kukashifu kwa kuisemea ikulu...
hiv kuwa mtoto wa rais kunafanya uwe na mamlaka ya kuitamkia ikulu?
ni kwel nch inaongozwa na familia ya j.k?

Lakini alikanusha kuwa yeye hakuandika ila kuna mtu aliingilia account yake ya facebook akaandika. Angekuwa ameandika jema akajitokeza aliyeingilia account yake ya facebook hakika angekanusha kwamba hangeweza kuingia na kuandika kwasababu ya passwords na usalama wa taifa kumzunguka. Lakini kwasababu amefanya soo anaruka kimanga. S.....pid.
 
Nchi kufikia hapa inatoa picha pia kutoka kwenye familia zao mf. ya JK si mama,mtoto wala baba yote ni makambare.
 
Nchi kufikia hapa inatoa picha pia kutoka kwenye familia zao mf. ya JK si mama,mtoto wala baba wote ni mashurubu.
 
Kuna msemo wa kiswahil unasema mwana wa nyoka ni nyoka,nadhani ndio unatumika sana katika familia ya J.K, ukitaka ugomvi na wapambe basi jaribu kuhoji....baadhi wanaona afanyacho Riz ni ujanja lakini si kweli huku ni kuhalalisha upuuzi,abaki kuwa mtoto wa rais na aheshimike km mtoto wa Rais lkn na yeye aheshimu na kujua mipaka ya utoto wa rais sio kila sehemu anatia miguu na kauli za kejeli,wamepita marais watatu lkn hali haikuwa hv mbona sasa?tusemacho sio wivu bali ni kukumbushana maadili.
 
Wivu tu unawasumbua nyie, badala ya kumlamu baba kwa kutokwenda shule mnalaumu walio fanikiwa.
Mkuu nadhani unavyoandika hv hauko serious ni utani unafanya, kama kweli haya unayoandika yanatoka ndani ya moyo wako basi u mtu tofauti sana ktk Tanzania hii, kauli zako zinamaanisha kila anayepata nafasi ale awezavyo au aitumie hovyo ajuavyo, na watu wasihoji maana ni wivu...hongera kwa kutekeleza ilani ya CCM.....
 
Fikiria ya Al Islam, watoto wa Mubarak pale Misri, Watoto wa Saddam pale Iraq.
Ikulu si ya milele. Ipo siku watakula ugali dagaa kama sisi, hata kama sio uraiani basi pale Keko au Segerea.
 
the dog of the king is the king of the dog!NO!hu ar u?unakwenda chooni kwa kodi zetu halafu unakejeli?jidharau mwenyewe huna legacy ya kumdharau mtanzania yoyote!hizo sh....l ulizonazo ni fedha zetu.
 
Back
Top Bottom