Kutembelea Nyota ya Mwenzako!

Nyakipambo

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
435
141
Wana JF,

Nimepita sehemu nikakuta jamaa zangu wanabishana kuwa kuna rafiki yao mmoja nyota yake imechukuliwa na sasa kuna mtu wanamhisi anatembelea nyota ya huyo jamaa hali iliyopelekea maisha ya huyo aliyechukuliwa nyota yake yawe mabaya ilhali ya yule aliyechukua nyota yamekuwa safi.

Naombeni mnijuze:
1. Kutembelea nyota ya mtu maana yake nini?
2. Nitajuaje nyota yangu imechukuliwa?
3. Nyota yamtu inakaa wapi na mimi nianze kuiwekea ulinzi isije kuchukuliwa?
 
4. Je kunauhusiano gani kati ya mtu na nyota.
5. Je kila mtu ananyota yake au wapo wanao ishi bila nyot?
 
Subiri mtaalamu platozoom aje akujibie hayo masuali yako

Wana JF,

Nimepita sehemu nikakuta jamaa zangu wanabishana kuwa kuna rafiki yao mmoja nyota yake imechukuliwa na sasa kuna mtu wanamhisi anatembelea nyota ya huyo jamaa hali iliyopelekea maisha ya huyo aliyechukuliwa nyota yake yawe mabaya ilhali ya yule aliyechukua nyota yamekuwa safi.

Naombeni mnijuze:
1. Kutembelea nyota ya mtu maana yake nini?
2. Nitajuaje nyota yangu imechukuliwa?
3. Nyota yamtu inakaa wapi na mimi nianze kuiwekea ulinzi isije kuchukuliwa?[/QUOTE]

Nyota ya mtu ipo angani utaijua pale utakapopata fursa ya kuzuru anga za juu. Gharama za kuifikia kwa mujibu wa wanaanga wa Kirusi ni kama 20milion Us dolar.
 
Heheheheh mwalimu ndio mana nikasema ukikuja utampa majawabu ya hayo masuali yake lol.....ashinwe mwenyewe sasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom