Kuna Bwana mmoja yeye alikua tatizo hilo. Siku moja kaamka kaenda jikoni kapika chai na akanywa, wakati anarudi kitandani akajigonga kwenye mbao ya mlango kichwani akazimia, alipopata fahamu nakuelezwa alichokifanya akakataa.
Wengi wetu tumeshakumbana na hili tatizo aidha sisi wenyewe ama kupitia ndugu jamaa au hata rafiki, ni tatizo la kiufahamu ambalo husababishwa na matatizo mengine mwilini kama mfumo wa upumuaji kutokuwa sawa, shida kwenye mfumo wa kusukuma damu, madawa msongo wa mawazo uchovu fikra za kufikirika nk
Kiroho pia ina tafsiri yake kwamba hata unapokuwa umelala na hujitambui ufahamu wako huwa active na kufanya mengine yote bila wewe mwenyewe kwenye nafsi ya utashi ukishindwa kutambua lolote.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa hata wale wanga na wachawi wanaochukua watu usiku hutumia formula ya ufahamu kuchukua watu kwenda kuwafanyisha kazi kisha kuwarudisha bila wao kujitambua
Dalili za tatizo hili kwa baadhi huanza utotoni ambalo wala mtoto hana stress nk, na utakuta mtoto anaongea pekeyake bila kutoa sauti anakunjua sura ama kukunja na wakati mwingine kushtuka,(hapa mambo ya kishirikina pia huhusika sana)
Hali hii hutokea masaa takibran matatu baada ya kulala ama kwenye usingizi mzito usiku wa manane na huweza kudumu kuanzia sekunde 30 mpaka nususaa.
Tatizo hili hutofautiana ukubwa, wengine huamka tu kitandani na kuzunguka ndani ya chumba na kurudi kulala! Ila wengine huamka na kama ni mwanafunzi huvaa uniform kabisa na kutoka mpaka nje hata wafanyakazi pia!
Akiwa katika hali hiyo huweza kutembea mpaka hatua kadhaa kisha kurejea ndani na kulala tena huku mwenyewe kwenye hali ya utashi akiwa hajui lolote
Nimekutana na kesi za namna hiyo na watu wakitibiwa kwa kitunguu saumu ama ndimu(hii ni tiba mbadala)kwakuwa kwa hospitali hizi za kizungu hili halina tiba bali hupotea lenyewe au kwa njia ya kutibu chanzo, hasa kama limesababishwa na viashiria vya wazi kama madawa msukumo wa damu stress nk
Kiafrika haishauriwi kabisa kumshtua mtu anayetembea usingizini kwakuwa kile kitendo si utashi wake bali ni command ya ufahamu ambalo haukuwalisiana na nafsi ya utashi (kutenda kwa uamuzi)kinachotakiwa ni kumshika mkono na kumrudisha kitandani taratibu na mara nyingi ufahamu hutii....!
Si wote wanaoamka asubuhi wakiwa wachovu au wamechafuka miguu nk ni matendo ya kishirikina, wengine ni hili tatizo la kutembea usingizini.
Inawezekana kabisa kwakuwa hafanyi kwa fahamu za utashi wakeKuna Bwana mmoja yeye alikua tatizo hilo. Siku moja kaamka kaenda jikoni kapika chai na akanywa, wakati anarudi kitandani akajigonga kwenye mbao ya mlango kichwani akazimia, alipopata fahamu nakuelezwa alichokifanya akakataa.
Mhhhhhhhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] kikikosekana chakula nakula[emoji81] [emoji85]
Kwa mfano kama umelala ww na mkeo mmoja kulia mwingine kushoto,alafu unastuka katikati ya usiku na kujikuta ww umelala kushoto mkeo kulia,yani mmebadilishana maeneo bila kujua,je,hili nalo linahusiana na mada hii?Kwa baadhi ambao hawana tatizo lingine lolote lakini huwa mahiri na waliobobea kwenye fikra za kufikirika hufikia kutengeneza matendo halisi kwenye ufahamu na kujikuta wanayatekeleza usingizini bila utashi wa nafsi
Mmh nipe mudaKwa mfano kama umelala ww na mkeo mmoja kulia mwingine kushoto,alafu unastuka katikati ya usiku na kujikuta ww umelala kushoto mkeo kulia,yani mmebadilishana maeneo bila kujua,je,hili nalo linahusiana na mada hii?
naogopa usije nipiga kipaipai![emoji106] [emoji115] [emoji102] [emoji109]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchawi hana maanaaa!!!Sikujaaliwa hiyo roho[emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji144] [emoji144] [emoji85] [emoji85]
Kihospitali wanahusishasha na ugonjwa wa kifafa cha usingizi kwahiyo mtu anayesumbuliwa na hali hiyo anashauriwa kumuona tabibu wa magonjwa ya ndaniKwa baadhi ambao hawana tatizo lingine lolote lakini huwa mahiri na waliobobea kwenye fikra za kufikirika hufikia kutengeneza matendo halisi kwenye ufahamu na kujikuta wanayatekeleza usingizini bila utashi wa nafsi
Je yule ambaye alikua anamchungulia pengine anaweza kua Mwanga?Hii haina uhusiano kabisa na kutembea ukiwa usingizi, wewe ilikuwa ni michezo ya kichawi au wanga
Matendo ya kutembea usingizini hutendeka kwa mpangio na bila kelele na mhusika huenda na kurudi bila kujitambua na kuendelea na usingizi wake
Majini yanaweza kutumika mbadala wa msukule,nifuge mengi kwa ajili ya kunilimia shamba?Linahudumiwa na vibarua ila nyie hamuwaoni, inawezekana ni misukule au ni watu tu wengine lakini nyie hamuwaoni
Wiki iliyopita nilileta habari za jamaa mmoja huko Nyamisati , ni kama huyo mzee wako