Lampedusa migrant
Member
- Mar 11, 2014
- 78
- 6
- Thread starter
- #21
Nimewahi kwenda huko Korea ni pazuri sana shida kubwa unayotakiwa kufanya maombi ni ndege isije kuzama baharini jumla jumla,,,,
hmmmmm !!!
Nimewahi kwenda huko Korea ni pazuri sana shida kubwa unayotakiwa kufanya maombi ni ndege isije kuzama baharini jumla jumla,,,,
Kalamzuvendi vipi, ndugu nimekucheki in box tuyajengeSio kubaya mkuu,unaweza tu kwenda.Mimi sipo Korea, nipo nchi nyingine lkn kutokea hapa nilipo nishaenda holiday mara 2.Ni watu waliopiga hatua kwenye maisha na technology kwa ujumla.