Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
Mimi huwa sielewi inawezekana vipi mwanamke kuwa na mwanamme mmoja na mwanamme kuwa na mwanamke mmoja? Katika ndoa lazima kuwe na "vibustani" angalau viwili au hata vinne kama hali inaruhusu...!