past iz past remembersio lazima kila kitu kiandikwe ndo uamini sweet Smile....Kitu kikikubalika ndani ya jamii hukubalika hata mbinguni... ipo siku utakuja sema wapi imeandikwa mtu akitembea na baba yake au mama yake mzazi haikubaliki.... usifanye dhambi ya kukusudia kwa sababu mpenzi wako wa mwanzo akijua atakuwa anasononeka kila siku na hata huyo mpenzi wako wa sasa hatafurahia kuskia ulikuwa una mahusiano na ndugu yake na hukumwambia before... anaweza kufikiri kuwa ipo siku ukifahamiana na ndugu yao mwingine utafanya hayo hayo. (kwani hilo umewezaje)
watatu na nani my dear..mtu keshaoa yupo na mkewe wapo busy kutafuta mtoto...mimi mambo yangu yanawahusu nini jamani?Kwanza kabisa ni muhusika (huyu mdogo mtu) ndio atakuwa anasay, na anachuliaje hii issue,(sababu bila yeye kuafiki hakuna mahusiano), pili ni kaka mtu atakuwa anao uzito pia kwenye hii issue (ila uzito wake sio mkubwa sana as muhusika akikubali there is nothing he can do) ila bora na yeye akiafiki as sio vema ndugu kugombana sababu yako (as inaweza ikakutokea puani mbeleni) hao ndugu na jamaa they dont have to know kama nyie watatu mtafikia muafaka..
In short hapa kosa lilifanyika kuanzia mwanzo kwa binti kutokuwa wazi kutokea mwanzo, afanye haraka kumwambia huyo mdogo mtu kuhusu hii issue kabla mdogo mtu hajagundua mwenyewe as ikiwa hivyo kutakuwa hakuna trust.
Brother has got a say in this issue, na sio wewe kumwambia bali mdogo mtu kumwambia unajua hapa undugu is at stake, sio vibaya na yeye akijua kuondoa awkardness, sio lazima akubali wala akatae lakini kufahamu sio vibaya..., anyway mdogo mtu ndio wa kuambiwa na yeye ataamua afanye nini.., aendelee na mahusiono, akuache..., au amwambie kaka yakewatatu na nani my dear..mtu keshaoa yupo na mkewe wapo busy kutafuta mtoto...mimi mambo yangu yanawahusu nini jamani?
Indirectly its about you.., ukiingilia katikati ya ndugu (kama no one has got your back mwisho wa siku yanaweza yakakutokea puani) sio vema kumpa mtu choice au kumshinikiza kufanya jambo linaloweza kuvunja uhusiano na ndugu zake...mnaongelea tu hao ndugu...how about me?
Mwaka 2006 nilitokea kumpenda kaka mmoja,na mdogo wake ndo alikua
akinitongoza sana.
Ila baada ya mda niliye mpenda alianza kunitongoza pia,kwakua nilikua
sija mkubalia dogo (na nisinge mkubalia),nilimkubali jamaa.
Dogo hakujisikia vizuri,you can imagine tulikua majirani tu.
Kulikua na kuto kuelewana kidogo,lakini after a while mambo yalienda vyema.
Dogo ni shemeji + rafiki yangu,na jamaa nipo nae hadi leo miaka 6 sasa.
All is well.
Ila kama uliwahi sex na ndugu mtu mmmmh,sio vizuri.
thax bro kwa vivid example ngoja na@Mr rocky ajeKituko kama hicho kimewahi kutokea kwa (kaka) binamu zangu ambao ni ndugu wa kuzaliwa tumbo moja...mdogo alikuwa na girlfriend wake kwa miaka mi2, lakini alikuwa mkorofi akimpiga piga huyo dada mara kwa mara, na kaka yake ndio alikuwa akiwasuluhisha..an likuwea akimjali yule shemejiye sana. Basi mdada akafall in love na shemejiye (kaka wa boyfriend wake), alipoachana na yule nayempiga piga...akanza mahusinano na kaka yake.
Sasa hivi wameoana mwaka wa 8 huu, wana watoto wawili...na anaheshimiana na ex-boyfriend wake kama shemeji. Japokuwa hata wazazi walikuwa wanajua, hakukuwa na matatizxo yeyote kweny familia wala uhasama kati ya makaka!
suppose una mpenzi wako but hajakutambulisha kwa ndugu yake yeyote then mkaachana..ameoa kabisa
miaka imepita umekutana na ndugu yake kabisa kabisa baba mmoja mama mmoja yupo serias kabisa anakupenda na ndio mwanaume at least anakufurahisha..... ndo anataka sasa akakutambulishe......utafanyeje?
yeye hajui kama x wako ni ndugu yake...
hata x wako hajui kama unamdate ndugu yake ....mliwekeana sheria marufuku kuongea kuhusu past .marufuku kuulizana mambo ya wapenzi wazamani ...oly kuangalia wakati uliopo na mbeleni
wewe tu ndo unajua na ulijua from the begining kabisa ..sema ukakausha penzi likakua na kukua na mwanaume kweli anakupenda kiukweli ilo lipo wazi sio mtapeli kama hao wazushi wengine to hell with them...
please usitukane hapa nimeokoka siku hizi
Mwaka 2006 nilitokea kumpenda kaka mmoja,na mdogo wake ndo alikua
akinitongoza sana.
Ila baada ya mda niliye mpenda alianza kunitongoza pia,kwakua nilikua
sija mkubalia dogo (na nisinge mkubalia),nilimkubali jamaa.
Dogo hakujisikia vizuri,you can imagine tulikua majirani tu.
Kulikua na kuto kuelewana kidogo,lakini after a while mambo yalienda vyema.
Dogo ni shemeji + rafiki yangu,na jamaa nipo nae hadi leo miaka 6 sasa.
All is well.
Ila kama uliwahi sex na ndugu mtu mmmmh,sio vizuri.