kutembea na mtu na kaka yake

mh!!!!!!asubuhi ya j4 we unawaza mapenzi!!!!!huchoki?mapenzi hayana mwisho yalikuwepo tangu Adam na Hawa,na leo yamekuwepo mpaka Adam Malima na mnyarwanda wake aliyemuibia,kesho ni mimi na wewe,na yataendelea,fanya kazi wewe,ningojetuje tukutane nikupagawishe!!!!!!!
wewe umefata nini hapa
 
Ni busara sana kama utaamua kusitisha mahusiano kwani mapenzi ni kitu cha ajabu sana, kama huyo X wako miliachana kwa wema iko siku mtashawishika kukumbushia tayari utakuwa ni usaliti, na kama mliachana vibaya kwa njia moja au nyingine mnaweza jikuta mnasimamia kulipiziana visasi kama si wewe basi ni huyo X wako. mwisho endapo itatokea ataekuwa mumeo au mke wa huyo X wako akajua unadhani nini kitatokea?

TAFAKARI.
 
Mwaka 2006 nilitokea kumpenda kaka mmoja,na mdogo wake ndo alikua
akinitongoza sana.
Ila baada ya mda niliye mpenda alianza kunitongoza pia,kwakua nilikua
sija mkubalia dogo (na nisinge mkubalia),nilimkubali jamaa.
Dogo hakujisikia vizuri,you can imagine tulikua majirani tu.
Kulikua na kuto kuelewana kidogo,lakini after a while mambo yalienda vyema.

Dogo ni shemeji + rafiki yangu,na jamaa nipo nae hadi leo miaka 6 sasa.
All is well.

Ila kama uliwahi sex na ndugu mtu mmmmh,sio vizuri.
 
watajiju hawanihusu kabisa hao
 
wewe umefata nini hapa

Smile,jaman Smile weye!!!!Haya bana!!!nimekuwa nisubiri punguza pressure,huyo atakumwaga tu!!!!Maana atakuwa tayari kaka nae awe anakumbushia mara moja moja!!!!Nisubiri!!!!Fanya kazi sa hizi!!!!tukutane wote safi mapenzi yawe matamu!!!
 
Mwaka 2006 nilitokea kumpenda kaka mmoja,na mdogo wake ndo alikua
akinitongoza sana.
Ila baada ya mda niliye mpenda alianza kunitongoza pia,kwakua nilikua
sija mkubalia dogo (na nisinge mkubalia),nilimkubali jamaa.
Dogo hakujisikia vizuri,you can imagine tulikua majirani tu.
Kulikua na kuto kuelewana kidogo,lakini after a while mambo yalienda vyema.

Dogo ni shemeji + rafiki yangu,na jamaa nipo nae hadi leo miaka 6 sasa.
All is well.

Ila kama uliwahi sex na ndugu mtu mmmmh,sio vizuri.

Miaka 6 mpaka leo una do tu!!!Kuwa na malengo wewe!!!!jenga familia
 
Smile,jaman Smile weye!!!!Haya bana!!!nimekuwa nisubiri punguza pressure,huyo atakumwaga tu!!!!Maana atakuwa tayari kaka nae awe anakumbushia mara moja moja!!!!Nisubiri!!!!Fanya kazi sa hizi!!!!tukutane wote safi mapenzi yawe matamu!!!
umetumwa sio bure
 
Smile, the fact that wewe mwanzoni ulijua na hukumwambia ni jibu kwamba u were worried of the outcome or wasnt sure of the genuity of the relationship.
Kama mliwahi ku-do the needful...sidhani kama its right ila ILA if you guys really love each other and u r meant to be..then tell him in advance..yani ajue kutoka kwako kwanza..then u discuss about it!
Heheh..for love's sake ata kama mli-do ni heri um-'anganye danganye tu' kuwa hamkufanya lolote na ikiwezekana umwambie na huyo kaka mtu!!! mimi pamoja na the love I have for my big bro..kama ashapita ni full stop...siez chukua!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwani malengo maana yake nini hadi ufikirie sina malengo?

albina quote my word,kuwa na malengo!!!!!!!watakufaidi sana kias mumeo mtarajiwa anakuwa mume wa pili na si wa kwanza!!!maana ili kumfikia wa kwanza ana mlima wa kupanda ili akufaid kama wa kwanza!!!huoni kuwa humtendei haki?
 
Mapenzi huambatana na wivu, busara ni kuongea na huyo mwenzi wa sasa ili upate mawazo yake maana ndiye pekee anaweka kuwa muathirika kama lolote baya litatokea.

Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote. Upendo hauna mwisho.
 
smile,
heri umwambie mapema, ili aamue kusuka au kunyoa...
afterall yule x si wa zamani na alishaoa na hakuna mahusiano?
kam ni wako atakukubali na past yako mjenge future...kama si riziki yako basi.............

ila heri mapemaaaaaaaaa, akikutosa upate na muda wa ku-heal....{joke}
 
kwani kuna shida gani ?
mwenzangu nataka kukuepusha na shari, before its too late, ila we ndio unamjua huyo mtu wako alivyo, siwezi sema mengi! but the way i knw guys kwa issue kubwa kama hivyo, ni bora umwambie mapema , the earlier the better smile kha!
 
Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote. Upendo hauna mwisho.
na huyu jamaa ni wa hatyo yote god bless him
 
wapi imeandikwa mkuu?

sio lazima kila kitu kiandikwe ndo uamini sweet Smile....Kitu kikikubalika ndani ya jamii hukubalika hata mbinguni... ipo siku utakuja sema wapi imeandikwa mtu akitembea na baba yake au mama yake mzazi haikubaliki.... usifanye dhambi ya kukusudia kwa sababu mpenzi wako wa mwanzo akijua atakuwa anasononeka kila siku na hata huyo mpenzi wako wa sasa hatafurahia kuskia ulikuwa una mahusiano na ndugu yake na hukumwambia before... anaweza kufikiri kuwa ipo siku ukifahamiana na ndugu yao mwingine utafanya hayo hayo. (kwani hilo umewezaje)
 
Back
Top Bottom