kwa nini?
Lakini Avator yako haijaokoka!suppose una mpenzi wako but hajakutambulisha kwa ndugu yake yeyote then mkaachana..ameoa kabisa
miaka imepita umekutana na ndugu yake kabisa kabisa baba mmoja mama mmoja yupo serias kabisa anakupenda na ndio mwanaume at least anakufurahisha..... ndo anataka sasa akakutambulishe......utafanyeje?
yeye hajui kama x wako ni ndugu yake...
hata x wako hajui kama unamdate ndugu yake ....mliwekeana sheria marufuku kuongea kuhusu past .marufuku kuulizana mambo ya wapenzi wazamani ...oly kuangalia wakati uliopo na mbeleni
wewe tu ndo unajua na ulijua from the begining kabisa ..sema ukakausha penzi likakua na kukua na mwanaume kweli anakupenda kiukweli ilo lipo wazi sio mtapeli kama hao wazushi wengine to hell with them...
please usitukane hapa nimeokoka siku hizi
Smile mbona unajihami hivyo?please usitukane hapa nimeokoka siku hizi
ni vyema kuepuka uhusiano wa aina hiyo.it is not very safe cku za mbelen