Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

Kauli za Sirro;
  • Amesisitiza, “Hii ni AK 47 ni salaha ya kivita na kuna uwezekano wametoka nayo kwao ili kuja kuwapa shida Watanzania.
  • Amesema watekaji hao pia walijaribu kulichoma moto gari hilo lakini walishindwa na kuamua kulitelekeza.
Sirro alitumia nafasi hiyo kuwaonya watu mbalimbali waliotoa maoni yao kupitia mitandao ya kijamii wakipingana na maelezo aliyoyatoa jana.

Unahitaji kuwa na akili ya mwendawazimu kuamini anachosema Sirro. Wazungu, ambao ndio alisema walihusika, walikuja nchini na AK 47 kutoka kwao. Nadhani walizipitisha airport, au labda walikuja kwa mtumbwi.

Pia hao watu walijaribu kuchoma gari wakashindwa? Hilo gari linatumia mafuta ya maji?
 
Haya maswali yako kawauliza Leo bosi wao wamebaki wanatoa macho tu kama mijusi kafiri. Sijui yeye hakuona katazo la Sirro kuzuia watu kuchallenge tamko lake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom