GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,845
Naamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi.
Hisia zangu zinanielekeza kuwa waliomteka huenda walifanya hivyo kwa maelekezo ya wakubwa waliowatuma. Alitekwa ili watu waogope kuongea?
Utekaji huo umewanufaisha watekaji? Mbona kama ndiyo wamezidi kuharibu?
Ona!
1. Watu wanaoikosoa Serikali wameendelea kuongezeka. Mpaka wana CCM na wao sasa wanaoikosoa Serikali yao
2. Ukosoaji umevuka mipaka. Sasa wapo mpaka nchi jirani wakiikosoa Serikali ya Tanzania kwa ukali kuzidi Watanzania
3. Imeichafua nchi Kimataifa!
Au lengo lao lilikuwa lipi hasa?