Kutazama Pono. Ina faida?

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
Kumekuwa na ongezeko la Watanzania (watoto hadi watu wazima) wanaotazama pornographs pengine kutokana kwa ukuaji wa teknolojia na matumizi yake. Lakini, pengine kutokana na kuwa hii sio utamaduni wetu, watu wengi hutazama kwa siri ama na wapenzi/wake/waume zao au wenyewe ingawa kutazama katika makundi ya watu pia ipo (hasa mashuleni na vyuoni).

Ukiachilia mbali hasara zake ambazo ziko dhahiri, baadhi ya watu wanaamini kuwa ipo faida na kubwa zaidi kuwa filamu za pono zinaongeza ujuzi wa "vionjo" katika tendo la ngono hivyo zimesababisha ongezeko la utamu wa ngono (kwa asilimia fulani ya wahusika) katika jamii yetu...

Pamoja na hasara zake na kuchukuliwa kuwa ni dhambi na baadhi ya waaminio na (pengine) kinyume cha maadili, binafsi nadhani utazamaji wa pono utaongezeka miongoni mwa wanajamii yetu, at least kwa miaka kadhaa ijayo hasa kwa kutazama trend za wakati huu.

Je, pamoja ha hasara zake, unaunga mkono kuwa ipo faida vilevile? Kama ndio, unawashaurije watu katika hili? Kama sio, unadhani kwa nini filam hizi zinazidi kuwa popular, na nini kinaweza kufanyika kuzizuia?
 
Ni wazi porno zina faida zake. Halafu tofauti ya porno na ngono za watu na wanaojamiiana kwa starehe ni nini? Si ni kitu kile kile tu sema porno imewekwa kwenye mkanda. Tendo ni lilelile. Sioni nongwa ni nini kuhusu porno.
 
kama bado unaangalia porn wewe bado mtoto!

Sure???

Mchungaji .... kule kampala alipokuwa naongoza harakati za kupinga ushoga alikuwa natumia filam za ushoga kuelezea jinsi ulivyo mmbaya. (Unakumbuka?). Naye sijui alihadithiwa na mwanae!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mnh mie sikumuona huyo mchungaji,kama kweli atakuwa ni mjinga ipo siku atakunywa pombe yeye mwenyewe alewe,ili afundishe watu pombe haifai??hii njia yake ya kufikisha ujumbe sidhani kama ni sahihi.....

ukifika umri fulani,vitu kama hivi havikusumbui...unless uwe umepinda!....

and yes,watu wazima wana experiment vitu kitandani!with real people/real things....

kungalia porn inabaki kuwa ni kwa watoto wanaoanza kukua na wale desperate lonely people!
 
Ebana hapo juu hujaninukuu mimi bana...maneno ya Waridi hayo
 
mnh mie sikumuona huyo mchungaji,kama kweli atakuwa ni mjinga ipo siku atakunywa pombe yeye mwenyewe alewe,ili afundishe watu pombe haifai??hii njia yake ya kufikisha ujumbe sidhani kama ni sahihi.....

ukifika umri fulani,vitu kama hivi havikusumbui...unless uwe umepinda!....

and yes,watu wazima wana experiment vitu kitandani!with real people/real things....

kungalia porn inabaki kuwa ni kwa watoto wanaoanza kukua na wale desperate lonely people!

hii inategemea ntu na ntu. kuna watu (wanandoa ) inakua kama stimulation kwao. n also someone may learn some new....

I cant say its advantageous on your side. but I can say its advantageous to me! Reasons are personal.
 
kwa vile wanaofanya mapenz ni watoto enh........:fish2:
mmh skujua mie!!!
 
Porno si mbaya kuziwatch ila huharibu pale ambapo mume huonyeshwa anapokula Tigo ya mke, ghaaaaaaaaaaa napata kichefuchefu mbaya.Otherwise ni stimulator nzuri sana.:sick:
 
Wengine starter zetu lazima tuangalie huko hata japo za kwenye cmu lazima ulifresh back then kazi inaanza na dawa.
 
Mzee wa kuji X- press...................ok ok!:becky:

Hahahaha unajua wkt mwingine unaweza kuwa umesahau style kutokana na mtu uliye nae lazima ucheck mafile ya nyuma kwa uzoeefu mwenzio alipigaje basi mzee inakuwa starter.
 
Picha za Porno ni muhimu sana - kama alivyosema Fidel ni kwamba 90% ya wanaume wanapata kujua "styles" na pia ni starter nzuri hasa hasa ukiwa umepata na "supu ya pweza"
 
Picha za Porno ni muhimu sana - kama alivyosema Fidel ni kwamba 90% ya wanaume wanapata kujua "styles" na pia ni starter nzuri hasa hasa ukiwa umepata na "supu ya pweza"

Pna husika sana hapo ........wacha niwasiliane na wajasiriamali tuone kama tunaweza kuisindika hii kitu!
 
Sidhani kama kweli hizo style nyingine kwenye hizo pono ni applicable! Maana application ya aina ya stail inategemea na uwezo wa kuihimili kutoka pande zote mbili, ila mmoja asipoweza bac no application! So naona manufaa yake ni kduuuchu kulinganisha na madhara yake.
 
Back
Top Bottom