Kutapambazuka!

Your thinking makes it so. Nchi za kiafrika zina laana, haiwezekani shida iwe Africa (mostly) tu.
Umewahi tafakari whu Africa?? Umewahi jiuliza chanzo cha laana??

Kuna sababu za NDANI YA BARA LENYEWE NA WATU WAKE (hasa kukosa maarifa ulafi ubinafsi na uchoyo). Na sababi ZA NJE YA BARA (Utumwa ukoloni unyonyaji ubeberu itandawazi soko huria...).

Btw. Laana inatokana na UTAJIRI WA RASILIMALI ZILIZOPO.
 
Na je. Mfumo wa dunia uliopo unayaruhisu hayo.

Jamaa kafurukuta kidogo tu kwenye kuzuoa wizi wa madini tayari wamelipiza kwa kukamata mali zetu zilizopo huko kwao.
 
Kweli kunapapambazuka kwa kasi, nani alijua kutakuwa na expansion joints pale kwenye mlango wa gari? [emoji3]
 
Kweli kunapapambazuka kwa kasi, nani alijua kutakuwa na expansion joints pale kwenye mlango wa gari? [emoji3]
[emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji106]
 
The only thing necessary for the evil to triumph is for the good men to do nothing
 
Katiba Katiba Katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…