Hilo swali nimemuuliza journalist mmoja nguli mpaka sasa hajanipa jibu lolote. Mi nakumbuka ilipopandishwa Mwanza sikusikia kama kulikuwa na hafla yoyote, na hata baadae Tanga na Mbeya sasa sijui Arusha ina nini la maana mpaka ufanyike uzinduzi?Anyway,kwanini kwa Arusha imekuwa so special? Mbeya,Tanga,Mwanza ilikuwa hivi? Politics?
jiji la wakulima!ARUSHA don't deserve to be city, migomba mpaka mjini
Sijui ni criteria gani zinatumika kuuita mji jiji huko Tanzania. Manake hata kamji ninachoishi tuko wachache lakini kanaitwa Garden city, Kule Long island. Miji na vijiji vyote bongo ni majiji
Sijui ni criteria gani zinatumika kuuita mji jiji huko Tanzania. Manake hata kamji ninachoishi tuko wachache lakini kanaitwa Garden city, Kule Long island. Miji na vijiji vyote bongo ni majiji
Tetesi: Fungu lililotengwa kwa ajili ya afla ya kutangaza Arusha kua jiji ni Tsh........ Nakutania
Migomba haitakaa iiishe ,itatoweka ila itarudi wenye pesa wakianza merger viwanja kibao uswahili na kupata eneo kubwa lenye garden watarudisha migomba tena. Minazi nayo ilikuwa haitakiwi mjini ila baadaye ilirudi ktk sehemu maridadi.Kahawa siku hizi zinaoteshwa ktk garden za nyumba nyingi sana Arusha.ARUSHA don't deserve to be city, migomba mpaka mjini