Psiteshio72
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 634
- 442
Mwandikie JamiiForums atakupa usaidizi na mwongozo.Nahitaji kujua kutangaza na Jamii Forums gharama zake (kama ni Admin/mod inbox Kwa maelezo zaidi)
Ahsante kwa muongozoHello,
Matangazo on JamiiForums ni TZS 1 kwa kila tangazo linapoonekana. Unaamua unatumia bajeti kiasi gani na kwa muda gani.
ILANI: Matangazo yanayohusiana na KUTOA MIMBA, BETTING na ANY ILLEGAL ACTIVITY kidogo yana changamoto kuyaweka JF.
Karibuni sana
Nenda hapo kwa Sudi ,mwarabu anayeongea kinyambo mwambie akupe omuramba e chupa emoNipo Huku Omurushaka Ngoja Nami Nipate Jibu Hapa Hapa
Mlamba Noma Sana Yaani Ile Ni OriginalNenda hapo kwa Sudi ,mwarabu anayeongea kinyambo mwambie akupe omuramba e chupa emo
Nikiwa na tangazo na nitumie njia gani kuleta tangazo.Na litakaa upande gani.Hello,
Matangazo on JamiiForums ni TZS 1 kwa kila tangazo linapoonekana (a single view). Unaamua unatumia bajeti kiasi gani na kwa muda gani.
ILANI: Matangazo yanayohusiana na KUTOA MIMBA, BETTING na ANY ILLEGAL ACTIVITY kidogo yana changamoto kuyaweka JF.
Karibuni sana
Kwa nini umeanza na kutoa mimba na si mfano mwingine?Hello,
Matangazo on JamiiForums ni TZS 1 kwa kila tangazo linapoonekana (a single view). Unaamua unatumia bajeti kiasi gani na kwa muda gani.
ILANI: Matangazo yanayohusiana na KUTOA MIMBA, BETTING na ANY ILLEGAL ACTIVITY kidogo yana changamoto kuyaweka JF.
Karibuni sana
Ila Matangazo ya Betting yana hela sana jitahidini Muyaweke hata hivyo kubet si dhambi.Hello,
Matangazo on JamiiForums ni TZS 1 kwa kila tangazo linapoonekana (a single view). Unaamua unatumia bajeti kiasi gani na kwa muda gani.
ILANI: Matangazo yanayohusiana na KUTOA MIMBA, BETTING na ANY ILLEGAL ACTIVITY kidogo yana changamoto kuyaweka JF.
Karibuni sana
Nikiwa na tangazo na nitumie njia gani kuleta tangazo.Na litakaa upande gani.