Kutana na Mwanaume mwenye uume mbili

Kutana na Mwanaume mwenye uume mbili

akipita kwa mkeo huyu ujue ashakula hadi kabang...hizo mbili zote zitapita wapi kama sio zitagawana njia...

**Ni mawazo yangu tu ya viroba.
 
Tungo tata hii! Ina maana kila moja ina pu.mbu zake mbili au zinashea kama hizo hapo juu kwenye picha ya jamaa?
 
January mwaka 2014
jamaa mmoja ambaye anajitambulisha kama Double Dick Dude (Triple D) au
Diphalic Dude alijitokeza kwenye mtandao wa Reddit anonymously na kujibu
maswali mbali mbali ya watu kuhusiana na maisha yake akiwa na UUME
(Wingi wake sijui ni NYUUME, forget about it 😀) Mbili.

Post hiyo ya Reddit ilipata umaarufu mgubwa sana na kuvutia thousands of
comments, Juzi about two days ago jamaa kaamua kujitokeza na kuandika
kitabu kiitwacho DOUBLE HEADER: My life with two penises kitabu
hiki kimevutia wasomaji wengi na kuwa miongoni mwa vitabu
vilivyonunuliwa sana amazon kwenye kategori kama 3 hivi (bestseller).

Jamaa anaeleza kwamba amekwisha fanya mapenzi na watu zaidi ya 1000
wanawake kwa wanaume.

Zipo picha nyingi sana jamaa amezi release kuonesha proof lakini siwezi
kuziweka hapa kwa sababu nadhani JF policy haziruhusu.

Huo ndio uumbaji wa Mungu, hali hii ya kuwa na zana mbili ijulikana
kisayansi kama diphalia na inaweza jitokeza kwa mtu mmoja kati ya watu
milion 5.5.

Haya sasa kwa wale wanawake waliokubuhu wanaotaka double penetration the
dude is here: Twitter: @DiphallicDude

View attachment 216613

View attachment 216614

uwiiii ngastuka ngashangaaa ngazimia uwiiiiiiii pole yake
 
Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio.

Anajulikana tu kama 'Triple D,' na ana umri wa miaka 25 kutoka nchini Mashariki mwa pwani ya Marekani na anadai kuwa amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake 1,000.

Mwanamume huyu anaugua ugonjwa ujulikanao kama 'Diphallia' ambapo mwanamume anazaliwa na uume mbili.

Kulingana na shirika la kimataifa la afya,BMJ, mwanamume mmoja kati ya milioni tano, duniani huzaliwa na hali hio.
ONYO: Taarifa hii ina lugha ambayo kwa baadhio huenda ikawachukiza
"maisha yangu hayatawahi kuwa sawa tena ikiwa nitajitambulisha kwa dunia nzima, '' alisema Triple D.

Hata hivyo BBC ilikubali kubana jina lake na hata kutoonyesha sura yake.
Anasema hataki kuwa kichekesho kwa jamii hasa anakoishi.

Katika siku za uchanga wake, wazazi wake walimwambia kutokana na maumbile yake , yeye alikuwa mtoto mwenye maumbile ya kipekee.

Anakumbuka wazazi wake wakimketisha chini na kuanza kumuelezea kwamba asidhubutu kucheza mchezo wa 'kalongo' na watoto wenzake na wala asidhubutu kuvua nguo zake za ndani mbele ya watu wengine.

'Mawaidha ya wazazi'
Kutokana na mawaidha ya wazazi wake, aliweza kuweka hali yake kama siri kubwa sana, lakini alipokuwa katika shule ya upili wanafunzi wenzake waligundua siri hio na hapo anasema alipitia masaibu si haba.

''Mwanzoni, sikutaka watoto wengine shuleni kujua hali yangu kwani sikutaka kumuudhi yeyote. ''
Natamani sana wazazi wangu wangeniambia na kunitahadharisha kuwa watu huchekelea kitu wasichokielewa.

''Sikutaka wanaume wenzangu kuhisi vibaya kwamba hawana uume mbili kama mimi na kuanza kunionea kijicho, au kuanzia kunifanyia stihizai na kunichekelea kwamba mimi sio mtu wa kawaida'' alisema 'Triple D'.

Alipokua na umri wa miaka 16, alitaka kufanyiwa upasuaji na kuondolewa uume mmoja kwa sababu watu hasa wasichana walianz akunitazama sana katika sehemu yangu ya siri.

''Natamani sana wazazi wangu wangenishauri kuhusu hali yangu basi nisingeopa gata kidogo.''
Alijohiwa kwa nini ni rahisi kwake kuzungumzia hali yake wakati akiendelea kubana jina lake? Alijibu na kusema kila mahali ninapokwenda, kila mtu atanifahamu na kuwa na matarajio makubwa kwangu.

Triple D amechapisha kitabu kwa jina: ''Double Header: My Life With Two Penises'', yaani maisha yangu na uume mbili pamoja na anavyokabiliana na hali yake. Anasema sehemu zake hizo zinafanya kazi vyema na kwamba hajabahatika kuwa na uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa mda mrefu.

Kwake changamoto kubwa ni kununua nguo zake za ndani.

Chanzo: BBC

watu wengine bhana, nikutane naye ili iweje?
 
kweli mungu aliumba dunia na maajabu yake, kizaizai,,,,,,,,,,
 
Madame B nakupa offer upige show moja na huyu jamaa
 
Last edited by a moderator:

Nasalimu jamvi, asalam aleikhoum, bwana awe nanyi. napenda kusema wajinga ndio waliwao! hicho kitu hakipo! hiyo anaweza kuwa mayo ya pili lakini haifanyi! acheni kucheza au kugilibu mfano was kazi ya Mungu.nikisema **** MTU ana vichwa viwili mtakubali?
yupo conductor was dala dala Post a mbagala ranging 3 lakini upande was pili haufanyi kazi astafrillah Allah anisamehe kutoa mfano huu na mjadalla huu ningeomba ufungee Ni lufru.
 
Back
Top Bottom