Kutana na Mwanadada Dereva wa Bus

Kutana na Mwanadada Dereva wa Bus

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
dereva.jpg
Ni Nusura Maguruko (Miaka 28), Abiria wengi wanafurahia mwendo wake na nidhamu ya uendeshaji basi. Nami natamani siku moja nipande basi hili!

Je, umewahi kupanda basi linaendeshwa na mwanamke? Je, unafahamu kuwa wanawake wanaendesha vyombo vya moto kwa kufuata kanuni na taratibu na wanaendesha kwa usalama usio na shaka?
Nini uzoefu wako?

photo and caption by Julius S. Mtatiro through his facebook account.
 

Attachments

  • deveva wa kike.jpg
    deveva wa kike.jpg
    108.4 KB · Views: 1,276
Mbona wapo hata kwenye mafoli, kama EAFCO petroleum, na pia alikuwepo mmoja dereva wa SHABIBY EXPRESS
 
View attachment 239511
ni nusura maguruko (miaka 28), abiria wengi wanafurahia mwendo wake na nidhamu ya uendeshaji basi. Nami natamani siku moja nipande basi hili!

je, umewahi kupanda basi linaendeshwa na mwanamke? Je, unafahamu kuwa wanawake wanaendesha vyombo vya moto kwa kufuata kanuni na taratibu na wanaendesha kwa usalama usio na shaka?
nini uzoefu wako?

photo and caption by julius s. Mtatiro through his facebook account.
yaah!
Sana makini miaka ya nyuma kuna mwingine alikuwa anaitwa hawa aliendesha uda.
Pia shabiby kulikuwa na dereva mwanamke.
Na kuna mmoja wa lori alikuwa akitoka zimbabwe kwa sasa haonekani.
Wote ni makini balaa.
Ndio maana wazungu safari ndefu za kifamilia mke
huendesha gari.
 
Jana kwenye msafara wa malory ya jwtz nlimuona mdada mmoja anaendesha.
 
yaah!
Sana makini miaka ya nyuma kuna mwingine alikuwa anaitwa hawa aliendesha uda.
Pia shabiby kulikuwa na dereva mwanamke.
Na kuna mmoja wa lori alikuwa akitoka zimbabwe kwa sasa haonekani.
Wote ni makini balaa.
Ndio maana wazungu safari ndefu za kifamilia mke
huendesha gari.
Huku safar ndefu inabid awe Me coz ya rafu rods
 
Back
Top Bottom