Kutana na Mwanadada Dereva wa Bus

Kutana na Mwanadada Dereva wa Bus

kukaa tumboni miezi tisa tu mnalalamika unajua baba yangu kanibeba kwenye mapumbu miaka mingapi ??
duh!!!,hahahaha haya bhana.sisemi kitu mkuu.
 
Umakini wa mwanamke awapo ktk sterling ni mkubwa kuliko dereva mwanaume.kwanza ni waoga pili drivers wengi wa kiume hawapendi kupitwa na wenzao barabrani ataona coz mwenzake kampita basi ni dharau atachekwa baadae kwenye vikao vyao vya pombe,basi watakimbizana wee hadi ampite na huo ndio mchezo wao barabarani wakati mwanamke hana cha kupoteza hata apitwe na wangapi zaidi atazingatia timetable yake inamuamuru vipi..binafsi madereva wanawake nawaamini sana,natamani hizi gari za long safari zingekuwa na madereva wawili,mwanamke awe dereva mkuu na mwanaume co-driver ajali zingepungua sana,wanaume tuna mioyo ya kupuuza puuza sana hasa sehemu zenye hatari tofauti na wanawake.
 
kukaa tumboni miezi tisa tu mnalalamika unajua baba yangu kanibeba kwenye mapumbu miaka mingapi ??

Teh teh teh teh teh. Najuta kwa nn nimesoma post yako wakati nipo ndani ya daladala. Mana imenifanya nicheke ghafla bin vuuu,mpk abiria wenzangu wananishangaaa hapa.
 
mke wangu anaendesha semi tela hila picha yake siitoi kwa sababu maalum
 
Huyo jamaa anaishi wapi?ifike mahali wa Tanzania tuwe na busara kabla hatujasema mambo
 
Teh teh teh teh teh. Najuta kwa nn nimesoma post yako wakati nipo ndani ya daladala. Mana imenifanya nicheke ghafla bin vuuu,mpk abiria wenzangu wananishangaaa hapa.

heheheeehe kuna watu wamevurugwaaa ahahaaha. nimekushindwa tabia🙌🙌🙌
 
Muda sana huyu mbona, ni takriban miaka mitatu au minne hivi
 
Kuna mmoja anaendesha tashrif la Tanga...huyo nilimpenda. Na nilikaa mbele kabisa ili nione anavyopiga fimbo. Nilivyomuona anavyoendesha nilimwamini na hata usingizi nilipata.
 
Nataka nianze nae mahusiano naweza kupata No yake au e.mail address yake?
 
yaah!
Sana makini miaka ya nyuma kuna mwingine alikuwa anaitwa hawa aliendesha uda.
Pia shabiby kulikuwa na dereva mwanamke.
Na kuna mmoja wa lori alikuwa akitoka zimbabwe kwa sasa haonekani.
Wote ni makini balaa.
Ndio maana wazungu safari ndefu za kifamilia mke
huendesha gari.
mkuu huyu ndo yule hawa the bus driver.??
 
kuna mazingira utashindwa tu, vipi upo kwenye ndege alafu unatangaziwa marubani ni wanawake utashuka?

Niliwahi kumuona Rubani (sio msaidizi wa rubani) mmoja wa British Airwaiys akirusha Boeing 767
 
Mbona wapo hata kwenye mafoli, kama EAFCO petroleum, na pia alikuwepo mmoja dereva wa SHABIBY EXPRESS

Huyu wa Shabiby nadhan alikuwa anaitwa Mama Halima na baadae alijaendesha lori la mafuta.
Huyu dereva wa Ndenjela anaendesha vizuri sana na nilishapanda gari analoendesha mara 3.
 
safi sana!! mabasi yanaendeshwa na vijana waliokesha na madada poa nuksi tupu,basi linaendeshwa kama limeibwa.

Hahahahahaa mkuu Ng'wanapagi unakuta suka kashuka kwenye chombo cha Mwanza sa2 usiku anapitia bar analewa anaondoka na bar maid sa6 wanaingia room sa7 anaanza kukamua(kwa kukomoa maana kanywewa bia sio za chini ya sh elf20 bado hajamlipa hela ya huduma)anashuka saa10 analala lisaa limoja saa11 alfajiri anatakiwa akaamshe bus kwenda Mwanza na kichwani ana hang over njiani na uchovu wa shughuli ya jana yake basi huko barabarani akipishana na gari zinazokuja mbele yake anaziangalizia kwenye angle za wind screen,(kwa wale waliowahi kuendesha gari wakiwa na hang over wataelewa jinsi inavyokuwa) yaan huko njiani anawapa kazi madereva wengine wamkwepe ila wakikutana wawili dizain hiyo ndiyo yale ya Majinja na lori yanatokea.ila mwanamke akishuka cha kwanza anafikiria familia yake wanae wameshindaje nk..ipo tofauti kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom