Kutana na msanii sexy wa filamu Shilole

Shida ni kwamba picha ilivyotoka na yeye mwenyewe ukikutana nae kwa mtaa hatishi hivyo.....nilivyomuona kwa picha moyo ulinienda mbio kweli lkn kukutana nae kitaa sikuamini kama ni yeye kweli....au ndio mchina ameanza ku-expire?
 
Aisee tuwekee picha yake live baada ya kukutana naye
 
IMG_0480.JPG

hawa wanacheki mechi au wanauza sura tu!
 
Starehe za wenye fueeeeza, wakimaliza kula wanatema kama ganda la muwa, wa hivi hawaolewagi kwani hakuna mwanaume mwenye kutaka pressure za ghafla ghafla! Mkuu hajaona hapa?

...Sam, kwa mujibu wa profile yake kwenye magazeti kadhaa ya udaku ni kwamba aliolewa akazaa watoto wawili kisha akaachika. Samahani nimesahau gazeti lenye taarifa hii ila ni la zamani kidogo!
 
Back
Top Bottom