Kutana na mama mtata.

Hapendi ujinga.fundi wa nini?wakati yeye mwenyewe fundi.
 
Bora angejipanga tu atafute fundi kwa maana hizo kona zinatishia amani
 
Bimkubwa yupo vizuri sema angetumia angalau pima maji na kamba anyooshe kuta zake...
Tofali zimekaa kama kajenga msingi baharini.
All in all hawa watu hapo waliumbwa kwa ubavu wa kushoto tena yawezekana mbavu zenyewe ni zile za chini kabisa.
Imagine wangeumbwa toka sehemu ya kichwa cha juu cha mwanaume wangefanya makubwa mangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…