Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,954
- 2,439
- Thread starter
- #41
Unamaanisha whatsap?Mkuu mbona pm yangu hujibu
Nyumba INA vgumba vingapi? Ina sqm ngapi?Mkuu naomba gharama zako za ujenzi.
Nina site nishajenga foundation nataka kunyanyua kdgo kdgo.
Hivi sasa nina tofali 400.
Utajenga kwa shs ngap??
Site location: mbagala kisewe
Tambarare
. Kama eneo ndio hilo linalotuamisha Maji unahitaji kujaza kifusi kwanza. Gharama ya msingi bila ya kifusi kwa mazingira hayo si chini ya 6mil.Kwema mkuu naomba kuuliza maswali mawili!!kwanza nyumba ya vyumba v3 jiko sebule na master na choo cha public foundation yke inaweza nikost kama sh ngapi Kiwanja ni tambalale kiko kigamboni kisarawe 2.Pili kama Kiwanja kiko eneo linaonekana linatuamisha jpo hakuna mkondo Wa Maji unaopita kuna usalama katika ujenzi nikimaanisha kuna kitu unaweza kufanya ili kusiwe na shida hapo baadae..pia naomba kujua kibali cha ujenzi kinahitaji sh ngapi..!
Kuhusu kibali cha ujenzi.Kwema mkuu naomba kuuliza maswali mawili!!kwanza nyumba ya vyumba v3 jiko sebule na master na choo cha public foundation yke inaweza nikost kama sh ngapi Kiwanja ni tambalale kiko kigamboni kisarawe 2.Pili kama Kiwanja kiko eneo linaonekana linatuamisha jpo hakuna mkondo Wa Maji unaopita kuna usalama katika ujenzi nikimaanisha kuna kitu unaweza kufanya ili kusiwe na shida hapo baadae..pia naomba kujua kibali cha ujenzi kinahitaji sh ngapi..!
Nashukuru mkuu tutaendelea kuwasiliana..Kuhusu kibali cha ujenzi.
Kama eneo lako lina hati nenda wilayani kitengo cha engineering ukiwa na ramani,hati miliki na site plan. Ila kama hayo maeneo hayajapimwa hakuna kibali . we jenga tu
KaribuNashukuru mkuu tutaendelea kuwasiliana..
Mkuu, huo ukuta mnafunga nguzo kila baada ya mita ngapi?, na katika hizo mita ni tofali ngapi mnatumia
@3m*2*13Mkuu, huo ukuta mnafunga nguzo kila baada ya mita ngapi?, na katika hizo mita ni tofali ngapi mnatumia
Kama nimekuelewa ina maana ukuta huo ni mita 3, na katika mita hizo tatu unatumia tofali 78 kwa ukuta wa futi 6?@3m*2*13
NdioKama nimekuelewa ina maana ukuta huo ni mita 3, na katika mita hizo tatu unatumia tofali 78 kwa ukuta wa futi 6?
Sijakuelewa bossKazi ni kipimo cha Hutu
Picha unazipigia mbali vipi hujaijenga wewe Nini maana fundi mwenyew ulitakiwa uipige karbu ili tuone vzur sasa wewe fund unaipiga picha kiuwizi wizi
HayaPicha unazipigia mbali vipi hujaijenga wewe Nini maana fundi mwenyew ulitakiwa uipige karbu ili tuone vzur sasa wewe fund unaipiga picha kiuwizi wizi