Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

IMG_20180613_133508_042.jpg
 

Attachments

  • 3D1.jpg
    3D1.jpg
    313.2 KB · Views: 235
Ni Fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada.
Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu.
Gharama zangu ni ndogo kulingana na uchumi wa mtanzania.

Pia nafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa.
Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.

Mfano.
Nyumba ya kawaida itakamilika kwa mda wa
20 days kwa structure na 20 days za finishing.
Napatikana Dar es salaam. Pia unaweza kunipata Instagram kama 'FUNDI MAHIRI WA UJENZI'

Mawasiliano.
0655173113
0693179844
Whatsap 0655173113
Barua pepe:
pmoses951@gmail.com


Weka picha za nyumba ulizokwisha jenga ama kurekebisha tuone umahiri wako.
 
Mkuu naomba kuuliza, ni tiles gani bora kati ya zile za india na hizi za china?. Kwa utaalam wako unamshauri mtu kutumia za wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom