papaa2015
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 411
- 101
Jamani sisi tunaoishi mikoani tunakosa mengi,tukija DAR tunatamani kubaki huku,eti
-club nzuri ziko Dar
-Pub za uhakika
-Watoto wazuri
Kwa kweli Dar kutamu balaa,hata huko Tmk tunakosikia pabaya panachanganya kinomaaa.Lazima nihamie Dar na mimi.Sema sikupata mwenyeji hata wa kuwa nae mpaka zinabaki siku 4 niondoke