Kutambua iPhone kama ni org au feki!

Kutambua iPhone kama ni org au feki!

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Wadau kuna iPhone nimenunua kwa teja bei ya kutupa ila sina hakika kama orgnal au feki nilichojaribu by that time ni kutest speed ya internet nikaona iko poa ....wataalam nipen maujuz hapo.
 
Wadau kuna iPhone nimenunua kwa teja bei ya kutupa ila sina hakika kama orgnal au feki nilichojaribu by that time ni kutest speed ya internet nikaona iko poa ....wataalam nipen maujuz hapo.

Check display quality maana iphone hua ina display ya pekee kingine fungua itunes au app store uone itakupeleka wapu
 
Back
Top Bottom