Niko safarini narudi DSM, toka mkoa, kuna kabinti kama cha 20 hivi nimekaa nacho. Yaani tayari kimeshajikabidhi, yaani nishaanza hata kukapetipeti. Niko mid forties, yaani mabinti wa kileo we acha tu.
But will spare her at least for today.
Sijaolewa.... Ila ndio ruksa kabisa maana hata nikisema sitaki kushare na mtu anakoenda najua? Wanaume wa siku hizi wachache ndo wametulia na ndoa zao ila wengi wao mmhh
Kweli vile. Naanzaje kubanana na mkeo wakati hela huna. Ni wanawake wachache sana wanadate waume za watu kwa mapenzi. Sasa asione anashobokewa akajua anapendwa inapendwa pochi tu hapo