Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
mhh wewe bwana ndo kusemaje sasa?wenye bakteria weng ndo watahiriwe?
Hapana dadangu,
Kama wanawake wanao bakteria wengi kwa nini wanadai kuwa umme ambao haujatahiri unabeba uchafu sana? Yaani sioni sababu ya kunyanyapaa watu ambao hawajatahiri kwa sababu eti ni uchafu. Na je wanaochezea njia ya haja kubwa je?
Ni marafiki angu wengi huko Kagera, ujaluoni na Uganda...wasinyanyapaliwe kwa sababu hiyo. Labda kama kuna sababu nyingine.