Kutafuta umaarufu; Kauli inayonikera

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,879
2,369
Wana jamvi, kuna hii kauli ambayo sasa imezoeleka na wanasiasa hasa wa chama tawala kuwasema wenzao hasa wa CDM kwamba wanatafuta umaarufu.
Nabaki najiuliza kwa mfano, hivi kati ya Januari makamba na Zitto kabwe, nani anatafuta umaarufu? hivi Tanzania ya leo nani asiyemjua Zitto, Slaa, Mbowe nk? Hivi Nape, January nani alikuwa anawajua kabla ya just last year?
Badala ya kujisema wao wanatafuta umaarufu, wanawasema watu ambao tayari walishakuwa maarufu hata kabla 2005.
Nawakilisha.
 
hawana jipya hao.
Siasa hawaiwezi tena thats y wanaishia kutoa kauli zisizo na mwelekeo bila kujiuliza wao ni kina nani na wana nafasi gani kwa jamii.
Binafsi wananikera sana pale wanaposhindwa kujenga ama kupangua hoja za wabunge wa upinzani na kuishia kutoa kauli zisizokuwa na maana.
CCM WAMECHOKA TUWAPUMZISHE JAMANI

mapenzi yangu
 
ukiona mtu analalamika sana ujue anakaribia kupotelea mbali viongozi wa ccm wanalijua hilo ndo mana wamebaki kulalamika hata mkulo juzi alisema zito anatafuta umaarufu hawajui kuwa cdm ni maarufu mwanzo mwisho
Wana jamvi, kuna hii kauli ambayo sasa imezoeleka na wanasiasa hasa wa chama tawala kuwasema wenzao hasa wa CDM kwamba wanatafuta umaarufu.
Nabaki najiuliza kwa mfano, hivi kati ya Januari makamba na Zitto kabwe, nani anatafuta umaarufu? hivi Tanzania ya leo nani asiyemjua Zitto, Slaa, Mbowe nk? Hivi Nape, January nani alikuwa anawajua kabla ya just last year?
Badala ya kujisema wao wanatafuta umaarufu, wanawasema watu ambao tayari walishakuwa maarufu hata kabla 2005.
Nawakilisha.
 
Hawataki 'maarufu' mwingine zaidi ya wao, hivyo tusiwachukie maana hasira hupoteza dira, ila tuzidi kuwawashia moto mpaka wajue kua maarufu si wao ila ni wale watakaolikomboa taifa hili - kulikomboa baada ya WAO (CCM) kulizamisha kabisa.
 
Wana jamvi, kuna hii kauli ambayo sasa imezoeleka na wanasiasa hasa wa chama tawala kuwasema wenzao hasa wa CDM kwamba wanatafuta umaarufu.
Nabaki najiuliza kwa mfano, hivi kati ya Januari makamba na Zitto kabwe, nani anatafuta umaarufu? hivi Tanzania ya leo nani asiyemjua Zitto, Slaa, Mbowe nk? Hivi Nape, January nani alikuwa anawajua kabla ya just last year?
Badala ya kujisema wao wanatafuta umaarufu, wanawasema watu ambao tayari walishakuwa maarufu hata kabla 2005.
Nawakilisha.

Kuna hiyo umaarufu na wivu, sasa unakuta eti mpaka mfano UVCCM wakikosolewa wanasema eti ni wivu au kutafuta umaarufu, yaani mtu uone wivu kwa mwenyekiti, katibu au mjumbe wa UVCCM? au eti kuafuta umaarufu kufafanua pumba za Nape. Well labda hiyo ndiyo lugha inayoeleweka kwa targeted audience!!
 
Wana jamvi, kuna hii kauli ambayo sasa imezoeleka na wanasiasa hasa wa chama tawala kuwasema wenzao hasa wa CDM kwamba wanatafuta umaarufu.
Nabaki najiuliza kwa mfano, hivi kati ya Januari makamba na Zitto kabwe, nani anatafuta umaarufu? hivi Tanzania ya leo nani asiyemjua Zitto, Slaa, Mbowe nk? Hivi Nape, January nani alikuwa anawajua kabla ya just last year?
Badala ya kujisema wao wanatafuta umaarufu, wanawasema watu ambao tayari walishakuwa maarufu hata kabla 2005.
Nawakilisha.

mkuu hiyo ndo sifa kuu yakujivua gamba. ili uonekane umejivua gamba lazima kila kinachosemwa na CDM, ni kutafuta umaarufu.
 
Back
Top Bottom