Kutafuta mume/mke kwenye mtandao wa jamii

Kutafuta mume/mke kwenye mtandao wa jamii

Mapenzi popote, cha msingi muwe na misimamo yenu tu.
Na kuwa makini. Baasi
 
Mimi huwa naona bora Instagram unaweza kumfollow mtu ukaanza kumchunguza kwa picha anazo post kama ukijirizisha ndipo unazama DM yake huku Jf noma mabinti wengi unakuta wametupia picha nzuri ukikutana nae sasa unakuta hujapendezwa nae.
 
Back
Top Bottom